Nahitaji msaada wa mawazo juu ya hili swali linalonisumbua kichwani.. Nimemaliza diploma mwaka huu na kuna sehemu najishikiza kidogo ss nataka niendeleee na masomo yangu ya degree
1/ je nikiwa part time itafaa zaidi ili niweze kujikimu au nisome full
2/ipi tofauti Kati ya part time or full time kwenye ajira
3/kwenye cheti wanaandika kama nimemaliza nikiwa full au part time
Piga part time Ndugu yangu...nothing differs to full time except muda wa kuingia na kutoka darasana...vyeti, walimu, modules, chuo etc yote ni yale yale tu

Huo mda ungeutumia kufanya mitihani ya cpa au cima au baadhi ya accounting packages ungefanya la maana kuliko hiyo degree kwa sababu professionally haikuongezei lolote. Ni mtazamo tu