Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Tunahitaji vijana watakaosaidia marketing team yetu katika kukusanya na kuandikisha taarifa za Bajaj katika vituo mbalimbali jijini dar es salaam.
MALIPO
Utalipwa kwa siku kwa kila Bajaj utakayoandikisha
Utapewa fedha za nauli na chakula (nje ya malipo ya kazi)
VIGEZO
Lazima uwe na uwezo mzuri wa kuzungumza na wadau wenye uwezo na uelewa tofauti tofauti katika kuchanganua mambo.
Uwe mwaminifu (e.g.usitoe taarifa za uongo ili kuwavutia wadau wanaotakiwa kujiunga)
Uwe una uelewa wa maeneo ya jiji la dar es salaam
JINSI YA KU APPLY
Tuandikie kupitia e-mail hii: info@grabcityinfo dot com
Maombi yatumwe kabla ya tarehe 18 mwezi 11 2015.