Part time hospital doctor

mtani1

Member
Aug 25, 2011
8
0
Wanajamii nina rafiki yangu ni amo yaani assistant medical officer anatafuta tempo baada ya kazi...ikipatikana hata kuanzia saa nane hadi sa 12 jioni ni poa...anaattend wagonjwa wote na anafanya operation zote...kwa kifupi ni mzoefu sana...yuko serikalini kwa sasa.....nashukuru kwa msaada wowote
 
We nani kakwambia kuwa AMO ni daktari anaefanya operations zote? halafu kama umeandika hukijui unachokiandika...
mwambie yeye aandike halafu aseme yuko wapi na zaidi ya Caesarean section anaweza kufanya procedure gani ingine..
Tafadhali alisiseme anaweza kupasua majipu,
 
Nadhani hujui maana ya operation zote. Usirudie tena kutumia lugha hiyo kwa sababu duniani hakuna daktari hata mmoja anayefanya operation zote. The world of medicine is specialized and is getting more and more specialized every coming day.
Halafu hata hujasema yuko wapo. Kwa kifupi unaonekana wewe na huyo AMO wako hamko serious.
 
Amo? Mnaopost topics kuweni serious. Eti operation za aina zote! Mtaharibu maana ya hii forum!
 
Back
Top Bottom