Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

alafu wewe slim huyo mtu aliyekuwa anagonga mlimfungulia wa nini?yani nilivyokuwa nasoma harakaharaka nikitegemea kufikia mwisho,haya mambo ya dada yake,sijui kufanya mazoezi ,sijui kupika na kula mi siyataki,embu ifupishe iishe wajameni,mbona wanitesa hivi na hii story

Mkuu lin mm nikiona mtt wa kike ananung'unika sipendi!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
akha, mie sio mmbea bana, hiyo shughuli kuna watu wanaiweza lakini mie aah... wee mwagika tu wala usewe na hofu

Weee sio mbea mbea ram afu usikae mbali leo jioni narudi!
 
Last edited by a moderator:
Slim mm ungejua unavyoniacha hoi unapokatikakatika!! bac tu cna namna ni kuvumilia tu.Ila nisije kuta zimeoza tu.

Mkuu mm nakatikatika! wisu umetisha!
 
Last edited by a moderator:
ah slim5 umeanza kuzingua.utamu unakuja utamu unakata..huyo mlangoni atakuwa jamaa yake.
 
Back
Top Bottom