Atakuta uji ushapoa! miss neddy yule nanii ht kumtaja naogopa! Humu watu wanatembea na chupa zna tindikali!
The teh teh teh...ngumu kumesa ngumu kutema aisee
Man Ngosha pamoja na kuchomolea shati, bd ckuweza kuficha ushahidi
miss neddy naomba niitie swahiba wng kan'tangaze, mii nimeita wee hkn majibu!
Wakijua tumeenda pm, miss neddy nimekwisha
Watanng'oa kucha!
Saa zote nakuita swahiba kan'tangaze, mpk nkamuomba miss neddy anisaidie!
Maana kwa hali hiyo kwenye kunyanyuka kwenye kochi inabidi dushe ulinyongenyonge kwenye pichu.Kicheko! Nilivaa suruali ya kitambaa, c unajua teacher wa tuit! Ilibidi nichomolee shati!
Si umeniita hapa kweupee! Wataambizana miss neddy
slim5 ndo nn lakini...malizia basi!
Mkuu slim5 nataka kujua,ulikua umevaa suruali ya kitambaa au jeans?
Duh!!! pole mkuu slim, sipati picha hiyo suruali ilivyokuumbua!!!!Can't wait the next part