Part 3: Ujasusi ndani ya Boeing

oohh yes kumbe we mpinzani thus why....acha huo ni UZANDIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo tu ulivyo sema nyerere kamkosea nini mungu umeniacha mdomo wazi wallahi
 
What if ni mpango wa wafanyabiashara wakubwa marekani,lengo ni kushusha hisa za Boeing sokoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapishanaga na watu wengi kwenye swala la Osama, binafsi naamini jamaa hajafa, lile ni jembe la Mmarekani, ile ni muvi ilichezwa kuihadaa dunia ili kuiondolea America aibu ya kushindwa kumkamata Osama na hapo hapo ikatumika kumpaisha black America Obama ili akubalike na wabaguzi wa rangi wazungu kwa usalama wake.
Saddam Husein alinyongwa hadharani dunia inashuhudia pamoja na kuwa hakuwa na hatia leo eti Osama alieitikisa America auwawe kimya kimya na kuzikwa baharini!!? Hao amerika walimuogopa nani anaewatisha ikiwa wangemnyonga hadharani huyo Osama? Pakistan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa makala hii, naomba nielewe kitu kimoja, je shida ilikuwa ni injini au position ya injini kuvuruga angle of attack hatimaye vertical airspeed ikaathirika. Swali ni je, huu ujasusi ulianzia kwenye 1. Design (engine position on the wings), 2.Or programming MCAS (Maneuvering Characteristics Augmention System). 3.Training ya pilots kuhusu MCAS.
Swali la mwisho, are they reprogramming MCAS au they are training pilots to use MCAS?
 

Attachments

  • Shocking New Theory On Ethiopian Airlines.mp4
    25.2 MB


Asante kwa habari hii ya ki uchunguzi...Lakini tatizo ni la kiufundi zaidi kuliko la kijajusi kama makala hii ilivyo elezea.

Kwa wenye ufahamu wa elimu ya uhandisi hasa “Controls and Automation” wanaweza kulielewa tatizo hili kwa undani zaidi.

Kumbuka Hii ni teknologia ambayo Boeing wanajaribu kuitumia kwenye ndege zao mpya kujaribu kuepuka tatizo la “engine/compressor stalling”. Tatizo hili linapotokea engine ya ndege inapoteza nguvu/thrust na hivyo inaweza kusababisha madhara kwenye engine yenyewe na eventually kwenye ndege.

Sensor zinapima ndege iko kwenye angle yako na kupeleka signal kwenye computer ambayo ndio iko programmed kufanya maamuzi...kwa Boeing nadhani iwapo computer ina detect ndege iko zaidi ya 10 degree up then it Automatically reduce the inclination. Kumbuka high inclination may cause the engine to stall.

Sasa sensor zilizokuwa zimekuwa installed kwenye ndege zilikuwa na matatizo kama zilizo sensor nyingine zozote. Zilikuwa zinapeleka data ambazo zinaonyesha ndege imeinuka saana na hivyo computer inarekebisha mwinuko huo na eventually ndege inajikuta the nose is point down na hivyo kusabisha ndege kuanguka.

Wahandisi wa Boeing ni wahusika wakuu katika tatizo hili .
Kwanza, kwa system kama hii mara nyingi unatakiwa kuwa na sensor zaidi ya moja (redundancy) ambazo utalinganisha data kutoka kwenye sensor zote kabla ya computer kufanya maamuzi.

Pili, usalama ni kipaumbele siku zote na huduma za usalama w chombo ulitakiwa uwe bure pale mteja anaponunua na sio kumcharge zaidi.

Tatu, Advance notice kwa marubani kabla ya computer kufanya maamuzi hasa kwenye Systems ambazo ni mpya.

Natumai kwa uelewa mdogo nimeweza kutoa mwanga.
 
Ahsante kwa maelezo hayo, sababu ya ujasusi ni ya kufikirika nadhani, kuna makala nyingine ambayo ni official and it is very interesting;


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh huu ujasusi kila sehem upo! Yaani ni kama vile oxygen, you can't run away from it
 
shukrani boss
 
Dah! Shemeji Nawaonea huruma sana hao wanafunzi unao wafundisha hapo shule ya msingi Tegeta.
Hakika wanakazi kweli kukuelewa.
Mara Obama,mara Osama, Mandege, Upinzani.....
Mmh! hatar tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…