masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,218
MTV base cha mtoto! ORIGINAL VERSION YA FILE LAKO UMELIONA LAKINIIII? NA MIE NIMOOO HUMOOO! TENA FAILI LINASEMA TUMBOO FYOKO FYOKO (TUSIFAIDISHE UMATI) ILI KUTUCHONGANISHAAA! Sasa mimi nilivolionaa najua Tumboo uko vigorous sanaa, na una guts za ajabuuu BUT I KNOW YOUR STYLE UKIPIKA SUMU KIUKWELI, na zile sumu sio style yako kabisaa, too linient and sentimental! NIKAJUA ILE NI SET UP! Ndo nikaingia kazini kusaka THE INSIDE STORY! Na aliponichosha kusema Zinca kakomfess kwake ni falni ayaaaaaaa! Kaharibu kabisaaaaa! Wakati mimi comfession ya Zinc ninayo kabatini tofauti ndo nikahakikisha ni FOUL PLAY!
FYI na wewe ume confess kwa mtu mzima. Mambo hata hayasemeki! Hahahaaaaa! AND I KNOW YOU HAVE NO IDEA WHATSOEVER! Chezea mtu mzimaa nyie?
Out of topic....ukiona mwanaume kakupa mimba halafu kaikataa ujue huna ladhaaaaa.....ungekuwa mtamu angeanza kukung'ang'ania yeye umzalie....!
Aiseeee!
Mmekosa shughuli za maana za kufanya?
What the hell is going on you people?
Mmekosa shughuli za maana za kufanya?
Mbona unapenda kunifata fata lakini...? Nimekutaja hapa au ndo unajistukiaaa?
Hebu kauze mbele hukooo...achana na mimi....
Na wewe embu kafie mbeleee ujui lolote tena usdandie magarii kwa nyumaaa utaburuzwaa bureees nyang'au mkubwaaaa weeee tena nlikua nakutaman ck sana ww na umejiletaaa
Duhhh aiseee!!
Ila nyie si muwataje hao wahusika
Ndio wapo kazini mkuu....
Haaaaaaa kumbeee nakushukuru kwakunifungua machoo maana nlikua gizan maaana kuna dada mmoja nalinitumia msg kua uyo zinc kanitaja mm kua ndio mhusika kwenye ule uzi wake.....pia uyo dadaa alieni pm ukifatilia kwenye ule uzi yeye ndio alikua kichocheo mkubwa sikutaka kiki kiukwel coz ck hiyo nlikua bizy na mambo yanguuu japo alinikwaza sanaa
shkamoo hamisi wetu.
si alisema hadi kampima mimba tumboo
mmh unajua ule uzi leo sijusoma labda majibu yalikuaje???
mi nilijiuliza nikasema mpaka mtu afungue account jf atashindwa kujipima mimba kweli??
Hivi unataka kusema mpaka hapo hujawafahamu wahusika???
Na wewe embu kafie mbeleee ujui lolote tena usdandie magarii kwa nyumaaa utaburuzwaa bureees nyang'au mkubwaaaa weeee tena nlikua nakutaman ck sana ww na umejiletaaa
What the hell is going on you people?
Mmekosa shughuli za maana za kufanya?
si alisema hadi kampima mimba tumboo
mmh unajua ule uzi leo sijusoma labda majibu yalikuaje???
mi nilijiuliza nikasema mpaka mtu afungue account jf atashindwa kujipima mimba kweli??