tumboo mi nakwambia LIVE wewe ni victim tu wa picha la mtu mzimaaa alilotunga asionekane MUFILISIIIIII hana supply ya ubuyu wala ukwaju tenaaaa! Sababu ni victim mwenzangu wa sakata hili i can share you a CLASSIFIED FILE la muhusika mmoja halisi ili tu amani irudi moyoni mwako, japo la Diabler utanisamehe sitokupa, na uje umuomba msamaha Zinc sababu nae HE WAS SET UP kama wewe na mimi. Then tuungane kumtokomeza MTU MZIMA OVYOOOOO! Mimi sio mmbe juu juu kidogo nimepita skuli, faili langu lilivonijia nikatulia na kufanya UNSA kama kawaida yangu nimetrace source yooote ndo nikagundua conspiracy ya mtu mzimaaa!
Na hivi namjua tabia yake na jinsi alivogala gala kwenye ule uzi kujifanya bi ubuyu mwenyekiti wa umbea kumbe apeche alolo hana analolijua nilimuita asubuhi aje adhibitishe sumu zake, jeuri hanaaa!