Kotmiri siyo parsley ina vinafanana sana kwa umbile isipokuwa matumizi na harufu yake, ukienda kariakoo kama siyo mwenyeji wanaweza kukuuzia kotmiri kama parsley, sehemu ya uhakika unaweza pata parsley kama ilivyo kwa dar ni supermarket hasa shoprite au soko la kisutu karibu na posta mpya