Alipashwa kutoa faraja kwa hao watu na si kuwaita majina yenye kuudhi na dharau.Huwenda akawa mlemavu wa akili.
Katika ulimwengu wa roho hayo majina huenda hayakulenga watu wenye changamoto hizo bali wale waumini waishio katika lindi kubwa la dhambi ilhali wanajiona wako vyema. Ulipaswa kujua muktadha ya homilia yake kwanza. Hata hivyo Pole kwa kufikiri ki-binadamu Zaidi.Katika hali ya kushangaza, misa ya jumatano ya majivu, Paroko katika matangazo yake akasema anatoa fursa ya kubatiza vichaa, mazezeta na mataira, tena akiongea kwa sauti isiyo na staha. Binafsi nilishangaa ni vipi mtu kama huyu alishindwa kuchagua maneno yenye staha kwa watu kama hawa? Alishindwa vipi kuwaita watu wenye changamoto ya akili, walemavu wa akili? Kwa nafasi yake alistahili kuwapa faraja, binafsi nilipata mashaka makubwa na wito wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na muktadha huo huo wa watu wenye changamoto ya akili kuwa nao wanastahili kubatizwa na yeye katoa ofa ya wao kubatizwa watu wawalete.Katika ulimwengu wa roho hayo majina huenda hayakulenga watu wenye changamoto hizo bali wale waumini waishio katika lindi kubwa la dhambi ilhali wanajiona wako vyema. Ulipaswa kujua muktadha ya homilia yake kwanza. Hata hivyo Pole kwa kufikiri ki-binadamu Zaidi.
Nilikuwa natafakari nikaona bora niseme.Kwa hiyo ukanuna sana siku hizo zoote ndiyo umelipuka leo?
Labda.huenda alikuwa na stress za kushuka kwa makusanyo ya sadaka na zaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkubwa hapo tatizo ni mapokeo yako na elimu uliyopewa juu ya majina dhalilishi kwa hao wenye hizo changamoto. "Kipofu" iwe Mwenye uoni hafifu! "Taahira" iwe Mwenye mtindio wa ubongo! hizi zote ni katika kutafuta kuficha hali halisi ya mtu! AU wasibatizwe?Alikuwa na muktadha huo huo wa watu wenye changamoto ya akili kuwa nao wanastahili kubatizwa na yeye katoa ofa ya wao kubatizwa watu wawalete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida.
Tatizo ni majina yaliyotumika.Sasa mkubwa hapo tatizo ni mapokeo yako na elimu uliyopewa juu ya majina dhalilishi kwa hao wenye hizo changamoto. "Kipofu" iwe Mwenye uoni hafifu! "Taahira" iwe Mwenye mtindio wa ubongo! hizi zote ni katika kutafuta kuficha hali halisi ya mtu! AU wasibatizwe?
Kumwita mtu taahira ni sawa??Sasa mkubwa hapo tatizo ni mapokeo yako na elimu uliyopewa juu ya majina dhalilishi kwa hao wenye hizo changamoto. "Kipofu" iwe Mwenye uoni hafifu! "Taahira" iwe Mwenye mtindio wa ubongo! hizi zote ni katika kutafuta kuficha hali halisi ya mtu! AU wasibatizwe?
huenda alikuwa na stress za kushuka kwa makusanyo ya sadaka na zaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni tusi?