Parking sensor za gari -mpya kabisa staright from china

Parking sensor za gari -mpya kabisa staright from china

kaygeezo

Senior Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
193
Reaction score
10
Nyeupe ,zina onyesha umbali kutoka "object"
zina piga pia alarm
Zipo 4
manual ipo
michoro elekezi pia ipo

picha zimeambatanishwa
simu:0754964911

bei 120,000tzs (maelewano yapo) parking1.JPG parking2.JPG
 
Askari wa parking si wapo? Unampoza mia 3 za usumbufu anakuongoza wakti wa kuingiza na kutoa gari na anakuchekia kishkaj. Nways stak kueka kauzibe..🙂
 
zinafanyaje kazi?
zina kuongoza na kukutaarifu uwepo wa kikwazo kwa kutoa mlio na pia kuonyesha umbali kutoka kwenye kikwazo.
Mara nyingi zinafungwa kwa nyuma na kuunganishwa na mfumo wa reverse wa gari
 
zina saidiaje?kikwazo gani zinatolea taarifa?
 
zina saidiaje?kikwazo gani zinatolea taarifa?
zinasaidiaje?:
-ina display inayoonyesha umbali(proximity) kutoka kikwazo(object)
-ina onyesha ukaribu kushoto na kulia kutoka object
-inalia alarm ikiwa object ipo karibu sana..(within 1.5m)

kikwazo gani zinatolea taarifa?
-vikwazo vyote ambavyo itaweza kuvitambua ndani ya (angle ya 60 degrees plus ndani ya mita tatu)
-nitapost specifications zote za sensor ili ujue uwezo wake.
 
Back
Top Bottom