masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Wakati huo huo............
Bashar al-Assad Blames Paris Attacks on France's Foreign Policy
France's support for opponents of Syrian regime was reason for attack, says Syria's president
Syrian President Bashar al-Assad, pictures in Damascus on Nov. 14, said that France's foreign policy had contributed to the attacks that killed 127 people in Paris. PHOTO: AGENCE FRANCE-PRESSE/GETTY IMAGES
Ni kweli kabisa.US si wanawafadhili hawa watu?
Umoja wa Ulaya wameshaanza kufumbuka macho kuona jinsi gani walivyopelekeshwa na US kujiunga nao kwenye vita mbalimbali.
Matatizo yanatokea EU ila US hayafiki.
Mauaji ya Paris ni ya kusikitisha.Leo dunia nzima inalia sababu ya paris-ufaransa kila mtu anaomba kwaajili ya amani ya ufaransa kitu ambacho ni kizuri.mpaka sasa ufaransa imepoteza takribani watu 120 katika mashambulizi yaliyofanywa jijini paris lakini kanakwamba haitoshi mtandao wakijamii wa facebook umeunga mkono maombolezo na upingaji wa mashaambulizi na mauaji ya paris kwa kuruhusu kuwepo kwa bendera ya ufaransa katika profile picture ya mtumiaji yeyeote wa facebook
ukakasi niuonao mimi ni huu hapa kwanza ni kiwepo kwa ubaguzi mkubwa na upendeleo wa wazi unaoneshwa na mataifa makubwa hususani ujerumani ambao walishusha bendera zao nusu mlingoti ishara ya kuomboleza vifo vya paris.
sasa ukiandalia kwa makini utagundua kuwa syria wamepatwa na mashambulizi yalioua maelfu ya watu haya nenda gaza maelfu ya watu wameuawa haya angalia tetemeko la ardhi lilivyoua maelfu ya watu njoo tena hapa somalia uone alshabab walivyoua maelfu ya watu malizia hapa jirani burundi ona mamia ya watu walivyo uawa.
sasa mbona hatukuona dunia ikisimama kama sasa kuyalaani na kuomboleza mauaji hayo katika mataifa niliyoyataja mbona mjerumani hakushusha bendera nusu mlingoti kwaajili ya syria au somali au gaza haya mbona facebook haikutoa icon ya bendera za mataifa hayo niliyo taja kunanini juu ya ufaransa mbona kikundi cha machinjachinjaa wa kiarabu wameuasana ila dunia ilikaa kimyaa huu ubaguzi wawatu utaisha lini kwanini tusiombeane wote dunia tuwaombee wenzetu burundi somalia syria gaza hata ufaransa.
sote ni waja wa mwenyezi mungu tusibaguane tupendane
na Godwill Sanga
0756979566
?With each passing day there are fewer safe places in Syria,? Paulo
S?rgio Pinheiro, chairman of the United Nations panel investigating
human rights abuses in Syria, wrote in a recent report. ?Everyday
decisions ? whether to visit a neighbor, to go out to buy bread
? have become, potentially, decisions about life and death.?
Source: http://www.nytimes.com/interactive/2015/09/14/world/middleeast/syria-war-deaths.html?_r=0
Mkuu sikubaliani sana na wewe juu ya hili.Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
What's the cause of all these FaizaFoxy, ni kweli waarabu na uislam ni dini ya fujo au kuna mkono wa mataifa yq magharibi yenye maslahi binafsi kula Umangani?
Pamoja na kutokuwa mwislamu. Lakini naona siasa za nchi za magharibi katika mashariki ya kati zimeleta kansa ya machafuko yanayoenea dunia nzima sasa.What's the cause of all these FaizaFoxy, ni kweli waarabu na uislam ni dini ya fujo au kuna mkono wa mataifa yq magharibi yenye maslahi binafsi kula Umangani?
It takes two to Tango.
Sababu zinaweza kuwa ni nyingi sana.
Cha kujiuliza, kwanini Saddam alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini Gaddafi alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini leo Syria wanauana kwa nguvu za magharibi?
Kwa Afghanistan ilishambuliwa kwa nguvu za magharibi?
Hao wote niliowataja sijaona sababu ya maana na ya ukweli kwa kushambuliwa na kuuawa wao na raia zao, jee wewe unaijuwa?
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
Kitu pekee ambacho watu wanatakiwa waelewe ni kwamba watu wengi wa Middle East kufa kwao ni thawabu ndio maana huwa hawajali sana na vyombo vya habari havitii mkazo tofauti na Ulaya ambapo kufa kwao ni Janga.Kimsingi ipo haja ya kuyatokomeza makundi ya kigaidi.
US si wanawafadhili hawa watu?
Umoja wa Ulaya wameshaanza kufumbuka macho kuona jinsi gani walivyopelekeshwa na US kujiunga nao kwenye vita mbalimbali.
Matatizo yanatokea EU ila US hayafiki.
Pamoja na kutokuwa mwislamu. Lakini naona siasa za nchi za magharibi katika mashariki ya kati zimeleta kansa ya machafuko yanayoenea dunia nzima sasa.
Binadamu awaye yote anapenda kuishi kwa mila, desturi na imani yake.
Watu waachiwe wafanye hivyo.
Marekani na nchi za magharibi zimekuwa zikijishughulisha sana mashariki ya kati iwe kama watakavyo wao, ilhali tamaduni na imani za huko hawazijui.
Waliokuwa wanazijua tamaduni hizo na imani zilizopitiliza , nchi zamarekani na mgharibi kwa ujumla waliamua kuwaua, kina Saddam, Gaddafi na hata Assad.
Leo hakuna kiongozi wa kiarabu mwenye nguvu wa kuyadhibiti makundi hayo ya imani kali.
Nchi za Magharibi ximenunua ugomvi toka viongozi wa kiarabu, na sasa wanaona matokeo yake.
Mkuu sikubaliani sana na wewe juu ya hili.
Hakuna binadamu anayechukia amani
Hivyo vikundi vya kigaidi vyenye imani kali, vilikuwa vina shughulikiwa kikamilifu na hao walioitwa madikteta, ambao nchi za magharibi waliamua kuwaua.
Vikundi hivyo sasa viko huru kusafiri dunia nzima, matokeo yake ndo tunayaona.
Nakubaliana na mtoa hoja.
Ni kweli kabisa.It takes two to Tango.
Sababu zinaweza kuwa ni nyingi sana.
Cha kujiuliza, kwanini Saddam alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini Gaddafi alipinduliwa kwa nguvu za magharibi? Kwanini leo Syria wanauana kwa nguvu za magharibi?
Kwanini Afghanistan ilishambuliwa kwa nguvu za magharibi?
Hao wote niliowataja sijaona sababu ya maana na ya ukweli kwa kushambuliwa na kuuawa wao na raia zao, jee wewe unaijuwa?
Usisahau, mpaka leo hii nchi za magharibi ndizo zinalinda amani huko nilipopataja!
Nionavyo, mashambulizi kama haya hayatasita leo wala kesho, mpaka dunia iwe na ukweli.