Hivi wewe una matatizo gani....
nivea harusi zenyewe za siku mbili, ya tatu talaka nani atakubali kumtoa binti yake kwa mtindo huo.
kwa hiyo mama umeairisha kumtoa mwanao? Marry Hunbig umemsikia mama yako?
Marry Hunbig mi siwezi kukumbuka hela za madafu,
atakayeleta madolari ndo nampa binti,
acha wajichanganye na vibahasha vyao mi ntakuwa nafungua
nakusanya nanunua costa, vita mbele.
Aah!
Ma mdogo,ubaya huo,LOL!
Marry Hunbig ubaya gani
kukusomesha kote hadi umemaliza vyuo vikuu vyote,
toto umeumbwa ukaumbika, toto tabia kama ya mimi mama yako,
posa ni dolari tu.
Kakuiga wewe kupendapenda, mkuki kwa mchungu eeh, kwa binadamu.......!!!!
Marry Hunbig ubaya gani
kukusomesha kote hadi umemaliza vyuo vikuu vyote,
toto umeumbwa ukaumbika, toto tabia kama ya mimi mama yako,
posa ni dolari tu.
Mb vp kiongozi?
Mie kosa langu lipi?
swadakta kaka, karibu kwenye Mkusanyiko wa watu weupe wa JF...
Thax very much my car get Problem sorry!
Marry Hunbig mwambie kabisa ili ajipange vizuri.
ooh that's sad news bro...anyway there's always next time!!!!