PARANOIA,PLAYBOY so much more

kijembeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
409
Reaction score
105
Helo wanaJF,poleni na mishe za siku, I am a male,hivi karibuni nmepata betrayal kutoka kwa mtu ambaye nlikua simuexpect kabisa, ikabidi nkumbuke ule unaosema usimuamini mtu, surely I am a one girl kind of man and nlikua na girlfriend wangu na tulianza simpo tu mpka mapenz yakaja kua very hot, you can say ndo yalikua yamefikia kwenye peak,nnachoshindwa kuelewa akaja kunsaliti ,nkashindwa kupata sababu iliomfanya afanye ivo, afu huyo gal wangu alikua anadespise sana watu wasio na mapenz ya kweli na kusaliti wapenzi wao, after the heartbreak nmejikuta na tabia mpyaaa, firstly nimekua na four galfriends, alafu sina imani kabisa na hwa viumbe wa kike, wazungu ndo wanaita this sence of distrust as PARANOIA, yan nmekua a very different person, naona the betrayal inanidestroy ,I just wanted to share my experience with you and get advice from you on how I should go on, and also advice you to not trust a person fully bcoz betrayal always come from the person you least expect,guday
 
Umeumizwa kweli lkn mie naona hiyo revenge unajifanyia nafsi yako..Womanizing inaweza kukupelekea kupata magonjwa au kufa..
Badala ya kujihurumia na kuteseka moyo mshukuru Mungu kwa kukuondolea huyo mtu kabla hujafika kwenye ndoa kwani ungeweza pata makubwa zaidi.Mungu huwa anajua mwisho toka tangu mwanzo.
Pia kuondoka kwa huyo ni kuacha mlango wazi kwa mtu aliyesahihi aje kwako.
Muombe Mungu sana akupe amani na kukuondolea maumivu ili uweze kufungua macho na kumuona aliyesahihi kwako
 
ni kipindi cha mpito tu .ila lazima uwe mbaya kwanza
 

NIMEUPENDA SANA USHAURI WAKO. Big up.., natumaini mhusika atauzingatia.
 
Pole sana mkuu, binadamu wana mengi. Tukio hilo lisikufanye ubadili tabia, kua na wapenzi wengi sio solution ya tatizo lako na hiyo ni dalili ya kukata tamaa. Kumbuka unapokutana na cheater mmoja jua kuna maelfu ya waaminifu ambao wewe hujabahatika kukutana nao. Tabia ya mtu mmoja isikufanye usteriotype na kuona wengine wote sio waaminifu. Nataka nikutie moyo kwamba umshukuru Mungu alikuonyesha mapema tabia ya huyo uliemwamini na hakutaka uangamie. Kwa bahati mbaya tuliowengi huwa tunaumia kupita kiasi kumbe Mungu anakua ametuepushia balaa. Kumbuka kuwa kila kitu kinachotokea maishani mwetu kina sababu. Jaribu kuangalia kila jambo in a positive way chukulia hiyo kama changamoto. Upendo wa Mungu bado umekuzunguka hebu muombe Mungu akuonyeshe anaekufaa na anaetoka kwake . Narudia tena huyu Mungu anakupenda ndio maana kakuepushia huyo hypocrite ,mshukuru sana na jione kua unathaminiwa na aliyekuumba hakuta uambukizwe kwa lazima haya magonjwa so usimuangushe bwana.
 

Pole sana mkuu.Mimi binafsi nimepitia magumu sana katika mahusiano.Niliachwa na mtu niliekua nampenda sana .Baada ya hapo niligeuka kuwa mtu wa wanawake wengi.Afadhali wewe wanne.Mimi nishakuwa hata sijali i think hata kumi at once.Namshukuru Mungu nimeacha yote baada ya kugundua najiumiza mwenyewe na kujiweka kwenye risk isiyo na sababu. Always there is Someone for you......Vumilia kuwa karibu na Mungu kwa kipindi hiki kigumu......Baada ya muda utampata atakayerudisha furaha yako.
 
Me napenda msemo wa kama hawork out just sepa tu.
Mwishowe ukutane na Jane wa mwenge! Unakuja kufa na ukimwi wa kujitakia. Alikussaliti fine..jus move on..mwamini Mungu utajapata mwingine ukute kuna kitu kakuepushia.
Anyways hao wanne ulonao wanawapenzi wanne kila mmoja af hesabu nyingine utapiga mwenyew usiku kabla hujalala i mean kabla hujasali ndo ulale jipe mda waza unachotaka af utakachopata from what ur doing!!

Pole kwa maumivu .

Wenzio tulimove on na now tupo on and on tutastay..ila sio katka style yako..utakufa alfajiri kabla ya jua kuchomoza im telling you!
 
Me napenda msemo wa kama haiwork out just sepa tu.
Mwishowe ukutane na Jane wa mwenge! Unakuja kufa na ukimwi wa kujitakia. Alikussaliti fine..jus move on..mwamini Mungu utajapata mwingine ukute kuna kitu kakuepushia.
Anyways hao wanne ulonao wanawapenzi wanne kila mmoja af hesabu nyingine utapiga mwenyew usiku kabla hujalala i mean kabla hujasali ndo ulale jipe mda waza unachotaka af utakachopata from what ur doing!!

Pole kwa maumivu .

Wenzio tulimove on na now tupo on and on tutastay..ila sio katka style yako..utakufa alfajiri kabla ya jua kuchomoza im telling you!
 
Ulichokifanya sio kizuri kwani kuamua kuwa PLAY BOY sio solution ya tatizo lako.

Kwani ungetulia na kumuomba Mungu asingekupatia msichana aliye wako wa milele?
Hapo unakuwa unafunga milango ya baraka ambayo Mungu alikuwa ameifungua ili umpate yule aliyekuwa anasrahili kuwa wako wa kweli.

Unachokifanya ni kuuridhisha mwili wako na kuupooza mwili wako kwa sasa bila kuangalia mbele kwako patakuwaje.

Nakushauri utulie kwani wako wa dhati yupo njiani anakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…