Dr Godwin Mollel naibu waziri wa afya ni bosi wake🤣
Waliahirisha kwa hasira baada ya kuamuliwa na MAMA
Alikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali.
mambo ya hovyo kabisaAlikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali.