Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,483
Paper ya Prof Shivji kwa BLW Katiba mpya
BONYEZA WEB CHINI
Paper ya Prof Shivji kwa BLW – Katiba mpya | Mzalendo.net
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/01/2013 // Nyaraka/Vitabu // 3 Comments
Paper ya Prof.Shivji kwa BLW Katiba Mpya by MZALENDO.NET
[h=4]Related Posts[/h] [h=3]Mswada uanzishwaji wa shirika la meli[/h]
[h=3]Tamko la wanavyuo Zanzibar[/h]
[h=3]Hotuba ya Balozi Seif ufungaji wa Baraza la Wawakilishi[/h]
[h=3]Kuzama Kwa MV Skagit Na Utekelezaji Wa Mapendekezo Ya Tume Ya Kuchunguza Kuzama Kwa Meli[/h]
[h=3]ZOP😛lastic & Reconstructive Surgery Camp[/h]
[h=3]3 Comments on "Paper ya Prof Shivji kwa BLW Katiba mpya"[/h]
BONYEZA WEB CHINI
Paper ya Prof Shivji kwa BLW – Katiba mpya | Mzalendo.net
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 20/01/2013 // Nyaraka/Vitabu // 3 Comments
Paper ya Prof.Shivji kwa BLW Katiba Mpya by MZALENDO.NET
[h=4]Related Posts[/h] [h=3]Mswada uanzishwaji wa shirika la meli[/h]
[h=3]Tamko la wanavyuo Zanzibar[/h]
[h=3]Hotuba ya Balozi Seif ufungaji wa Baraza la Wawakilishi[/h]
[h=3]Kuzama Kwa MV Skagit Na Utekelezaji Wa Mapendekezo Ya Tume Ya Kuchunguza Kuzama Kwa Meli[/h]
[h=3]ZOP😛lastic & Reconstructive Surgery Camp[/h]
[h=3]3 Comments on "Paper ya Prof Shivji kwa BLW Katiba mpya"[/h]
-
Mrfroasty (Ufundi) 20/01/2013 kwa 10:43 mu · Ingia kujibu
Prof.Shivji asijifanye mwenye akili timamu ni pekee kwa kuwa jina lake linaanzia na prefix ya prof.Kila mwanadamu ana akili yake na tunaamini akili hio ni timamu.Kutuambia hoja zengine serekali moja na mkataba hazina mantiki ????.
Nadhani Prof.Shivji ameteleza, mimi binafsi naamini kila mwenye kuunga mkono hoja hii ana sababu zake na lazima zitakuwa za msingi.Hoja ya serekali moja, pengine Prof.amefanikiwa kusema ni watu wachache wenye kuinga mkono hivyo haina nguvu.
Lakini hoja ya mkataba, sidhani kama wazanzibari wengi waliounga mkono wote ni wapumbavu kwa kuwa tuu eti hawana uproffesa.Mimi binafsi sioni hoja ya kupoteza nguvu na energy kutafuta suluhusho za mambo complex ya muungano.Kwa maana hio mkataba ni hoja muhimu, kwa hio kwanza tuvunje muungano na tusitishe mchakato kama unavyosema.
Tukimaliza kuvunja tukae kwanza tujipange na kujitathmini kama kweli muungano na hustling zote hizi zina tija yoyote ?Pengine tukikaa miaka kadhaa bila ya muungano, wote tutaona faida zake na hatutahitaji muungano tena!!!!
Wengi wetu tunatazama hali ya maisha na uchumi Zanzibar kabla na baada ya muungano.Kuna kila ushahidi (nashangaa prof haoni hili au amefumbia macho ?) kama uchumi wa Zanzibar na hali za maisha hata mwanzoni mwa muungano zilikuwa za kuridhisha (ambapo Zanzibar ilikuwa na uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake ).
Mwisho
Yote hayo yanaashiria tatizo la kufa na kuzorota kwa uchumi na maisha Zanzibar ni ongezeko la hizo zinazoitwa kero.
Wazanzibari tusije kubali hata kwa mara moja, kukawa hakuna mkataba wowote na badala yake mambo yote ya muungano yakaendeshwa na kukabidhiwa kisheria kwenye Bunge.Ikiwezekana wazanzibari wasishiriki katika Bunge la Tanganyika/Muungano.Hili liwe ni kwa ajili ya Tanganyika na Zanzibar tuwe na BLW, kama kutakuwa na mashirikiano/mkataba uendeshwe na chombo chengine kabisa ambacho kitafocus na mjadala wa mashirikiano/muungano pekee.
Wasalaam,
-
Ashakh (Kiongozi) 20/01/2013 kwa 11:12 mu · Ingia kujibu
Naam leo tunaona muadhara wa ma Prof kama hawa wa Kitanganyika Shivji naye amejijaza tele za kasumba zake za UNYERERESM, hii ni aibu na kujivunjia heshma yake mbele ya nyuso za Wazanzibar waliomuona kwa kipindi fulani kuwa mmoja ya wale wanaoeleza ukweli juu ya muundo kharama wa muungano.
Leo anawazingua Wawakilishi na Wazanzibar kwa ujumla wao kwani pale alikuwa mbele ya wawakilishi wao, anawaletea hoja isiyofahamika kichwa wala miguu. Huu ni upofu wa mwisho kwake yeye na ile njama yake ya kuisukuma Zanzibar hadi katikati ya bahari. Leo hii baada ya kuondoka bosi wake (Mzee Kifimbo) yeye sasa kawa kinara wa kulisimamia hilo.
Napenda niwambie tu kuwa kwenye hiyo semina Wawakilishi wote walikuwa na msimamo mmoja, wote CCM na CUF lao lilikuwa na moja na hawakukubaliana na hoja hiii ya Shivji. Speka Kificho alikuwa mstari wa mbele na kutetea maslahi ya Zanzibar ndani ya muungano. Shivji aliacha kasawijika na ujanja wake wa kisomi akipigwa pute na wajinga wa Wakizanzibar
Naomba tumtangaze hadharani kuwa huyu ndie adui namba moja na kibaraka wa Tanganyika, hivyo asipiwe nafasi tena wala asiaminiwe kwa maslahi ya nchi yetu
-
makame silima 20/01/2013 kwa 2:31 um · Ingia kujibu
Katika swala hili la Muungano Watanganyika hungana na husahau na kuweka upande tafauti zao zote za kidini,kikabila na kisiasa na mwicho huwa kitu kimoja kuvutia upande wao kwa vile mwenge kuwa (victimu) katika Muungano ni Zanzibar ndio (looser).
Jee mtawala na mtawaliwa yupi mwenye kuumia? sasa hapa ndio utambima Profesa Issa Shavi na up-Rofessa wake yuko upande kani ,utaona uzawa na uzalendo hapa ndio unao meta kwake .
Ikiwa profesa Shavji anasema ikija katiba mpya ule mkataba mama wa Muungano utabakia ni historia lakini utakuwa powerless katika katiba mpya? .
Sasa chakujiuliza hapa na kumuliza Profesa ? Jee huo Muungano wenyewe una uhalali wa kukizi ridhaa za Bunge la upande moja katika kuungana? maana tukiachia kuwa wananchi hawakuchirikichwa? lakini hata Baraza la Mapinduzi kwa wakati huo wanasema hawakuchirikichwa?.
Sasa uhalali wa Muungano huu upo wapi? baada ya kurudi nyuma tunasonga mbele Kwa ubabe wa watawala kuto kuwaskiliza wananchi na kulazimicha uhalali wa Muungano ? na profesa huyo huyo ndie alio sema hadharani kuwa Muungano huu ni wakisiasa zaidi kuliko uhalali wa Muungano.
Muungano hauna uhalali ya (Union treaty) kwa vile haukufuata vigezo na kupata ridhaa ridhaa ya watu wa pande mbili za Muungano.
Na Profesa alisema Muungano huu ni wakirafiki zaidi kisiasa kuliko ridhaa za wananchi wa pande mbili husika, uhalali wa Muungano huu labda kwa vile umeichi muda mrefu, lakini na hivyo kuichi Muunda mrefu sio kigezo Profesa kwani uhalali haupo hata uichi miaka mia karne 1.
Mimi tu nauliza tena swali langu Jee wananchi wa Zanzibar %64 tayari hawataki Muungano wanataka Dola yao huru Jee kuna chombo gani tena kikubwa kuliko wananchi ? ikiwa upande moja tayari hawautaki katiba hio ni yanini kama sikulazimichwa kitu wasicho kitaka Wazanzibae?.