Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 151
Hivi huyu mtu anayekwenda kwa jina la Pape amepotelea wapi????? Au ameshachakachuliwa nini?????
Hivi huyu mtu anayekwenda kwa jina la Pape amepotelea wapi????? Au ameshachakachuliwa nini?????
kweli hata mimi sijamsika siku nyingi? usikute kachakachua ID.................
mmemkosa kabisa?....endeleeni kumtafuta mkimkosa mje niwaonyeshe alipo
sasa si utuonyeshe tu Preta? au na hili nalo hadi rushwa? ha haaaaaaaaaaa