MAKOLO bhanaHii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo

Bila shaka wewe ni Utopolo.Thread zingine bana. Kwahyo baada ya goli umekimbilia kuja kuanzisha thread
Kweli kabisa aiseeKiumbe hatari sana kwenye medani za kisoka huyu ni Mbape wa Africa.
Kweli kabisaLile goli linaweza kufanya ukraine apate msamaha kwa putin
vipi lile goli la bicycle kick dhidi ya asec mimosas pale taifaMAKOLO bhanatangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo
Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors![]()
Hapana. Ni kolo.Bila shaka wewe ni Utopolo.