Pindima
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 347
- 82
Tajiri mmoja wa Kimarekani
alienda likizo kutalii mjini Rome,
na alitamani sana kumwona
Papa.Alisimama katika mlolongo
mrefu wa watu akiwa na suti
yake moja ya bei mbaya mno
akiamini kuwa Papa angelimwona
kwa umaridadi wake wa mavazi na
labda angechati nae kidogo.
Papa alipomkaribia, alimpitia
karibu kabisa lakini wala
hakumtupia jicho kana kwamba
Tajiri huyo hakuwa kitu chochote
bali ni Mlingoti tu..
Papa akasimama kwa kijana
mmoja masikini choka mbaya kwa
mavazi yake, kasha
akamnongoneza kitu halafu
akaendelea na safari.
Kitendo kile kilmuuma sana Tajri
yule. Baadae alimfuata Yule
kijana masikini na akazinunua
nguo zake kwa dola 1500 akiamini
Papa angelimwona na kuzungumza
naye kesho yake.
Kesho yake Tajiri Yule aliposimam
katika mlolongo kama kawaida
akiamini safari hii ni uhakika
kuchat japo kidogo na Papa. Papa
alipofika kwa Tajiri aliinama kwa
upole kabisa na akamnongoneza
sikioni...
"I thought I told you yesterday
to get the f**k out of here."
alienda likizo kutalii mjini Rome,
na alitamani sana kumwona
Papa.Alisimama katika mlolongo
mrefu wa watu akiwa na suti
yake moja ya bei mbaya mno
akiamini kuwa Papa angelimwona
kwa umaridadi wake wa mavazi na
labda angechati nae kidogo.
Papa alipomkaribia, alimpitia
karibu kabisa lakini wala
hakumtupia jicho kana kwamba
Tajiri huyo hakuwa kitu chochote
bali ni Mlingoti tu..
Papa akasimama kwa kijana
mmoja masikini choka mbaya kwa
mavazi yake, kasha
akamnongoneza kitu halafu
akaendelea na safari.
Kitendo kile kilmuuma sana Tajri
yule. Baadae alimfuata Yule
kijana masikini na akazinunua
nguo zake kwa dola 1500 akiamini
Papa angelimwona na kuzungumza
naye kesho yake.
Kesho yake Tajiri Yule aliposimam
katika mlolongo kama kawaida
akiamini safari hii ni uhakika
kuchat japo kidogo na Papa. Papa
alipofika kwa Tajiri aliinama kwa
upole kabisa na akamnongoneza
sikioni...
"I thought I told you yesterday
to get the f**k out of here."