Papa Fransis: Msiigeuze Mediterania kuwa Bahari ya Mauti na Kaburi la Heshima la Wahamiaji wa Kiafrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
My Take
Inakuaje Miafrika inajua kabisa inakataliwa na kutumbukizwa kwenye Bahari lakini inalazimisha kwenda Ulaya?

Wacha wafe Sina huruma na ujinga Mimi.

----

MKUU wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita "uzalendo wa uadui" na ametaka Ulaya iungane kushughulikia uhamiaji ni kuzuwia kuigeuza Bahari ya Mediterenia kuwa "kaburi la heshima".

Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki aliyazungumza kwenye hotuba yake refu ya kuunga mkono kuwakaribisha wahamiaji barani Ulaya iliyohitimisha kongamano la Kanisa lake juu ya masuala ya Bahari ya Mediterenia mjini Marseille, mji wa bandari wa Ufaransa ambao kwa karne kadhaa umekuwa makutano ya tamaduni na dini mbalimbali.

"Kuna kilio cha maumivu kinachotugusa sote, na kinaibadilisha Mediterenia, bahari yetu, kutoka kuwa chanzo cha ustaarabu na kuwa, bahari ya mauti, kaburi la heshima: ni kilio cha masikitiko cha kaka na dada zetu wahamiaji", alisema.

Papa Francis alipokelewa kwenye mji huo na Rais Emmanuel Macron ambaye baadaye walipangiwa kuwa na mkutano wa faragha siku ya Jumamosi (Septemba 23) kabla ya kurejea mjini Roma.

Papa aliianza siku hiyo kwa kukitembelea kituo kinachowahudumia wenye mahitaji katika wilaya ya Mtakatifu Mauront, mojawapo ya maeneo masikini kabisa nchini Ufaransa, kinachosimamiwa na watawa na kilichoanzishwa na Mtakatifu Mama Teresa.

Chanzo: Nipashe
 
Historia inatabia ya kujirudia.

Wazungu walikuja Africa waligawana bara letu, wakaijenga ulaya.

Sasa waafrica wanaenda Ulaya iliyotemgenezwa kwa rasilimali za Africa ili kutafuta nafuu ya maisha.

Athari za UKOLONI zibebwa na waliotutawala pia.

Kuwatupa baharini HAPANA. Ni UKATILI.
Sisi waafrika tuna matatizo binafsi mkuu. Mbona wakorea na wachina hawazamii hovyo Japan?
 
Watu kuhama ni kutafuta maisha Bora Sasa hao wajapan unaowazungumzua Wana maisha Bora, huduma Bora, Miundombinu Bora, Nk Sasa wazamie kutafuta nn
 
Kwanini tusipambane hayo maisha Bora tusiyajenge hapa hapa Afrika kwenye nchi zetu mama tulizozaliwa, hao wajapan maisha Bora hayakuja tu Kwa bahati walipambana mpaka Leo wapo vile
 
Sasa ndo hivyo tuna viongozi wapumbavu wasiyokuwa Marifa na uwezo wa kuboresha huduma Bora kwa wananchi Ili iwe Rahisi kutafuta maisha Huku, kuliko saiv ambapo ufisadi Rushwa ndo imetawala viongozi hawana Maono kabisa ww unafikiri n lini tutabadirika, tuendelee tu kuishi hivyo hivyo tu
 
Uongozi ni ajira na Sio wito watakuwaje na maono Sasa
 
Sasa ndo hivyo tuna viongozi wapumbavu wasiyokuwa Marifa na uwezo wa kuboresha huduma Bora kwa wananchi Ili iwe Rahisi kutafuta maisha Huku, kuliko saiv ambapo ufisadi Rushwa ndo imetawala viongozi hawana Maono kabisa ww unafikiri n lini tutabadirika, tuendelee tu kuishi hivyo hivyo tu
Mbona wote tunatafura maisha huku huku? Acha wafe
 
Maisha ya mwanadamu ni kusafiri,Karne na Karne watu wamekuwa wakihama bila usumbufu.Hata hapa tulipo Tanzania siyo asili yetu utakuta mababu walitoka Cameroon , Egypt, Ethiopia,SA,nk.Ujiulize Kwa nini walihama..Freedoms of movement ni asili yetu...Kinachosumbua ni maendeleo yaliyoleta ubinafsi...Dunia inapaswa kuwa mahala guru Kwa mtu kuishi popote anapopenda..Kumbuka hata hapo Zanzibar,kilwa,paliwahi kukaliwa na wareno,waarabu,wazungu nk Kwa vipindi tofauti...
 
Tatizo la Africa ni uongozi, uongozi, uongozi, uongozi.......... viongozi wa Africa hawazipendi nchi zao wala watu wao,ni wabinafsi,wachoyo na wasiyo na huruma,ni bora enzi za ukoloni kuliko kutawaliwa na waafrica wenzetu,mifano ni mingi ila sisi ngozi ya tako ni watu tusio na huruma kabisa.
 
My Take
Inakuaje Miafrika inajua kabisa inakataliwa na kutumbukizwa kwenye Bahari lakini inalazimisha kwenda Ulaya?

Wacha wafe Sina huruma na ujinga Mimi.

----

MKUU wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita "uzalendo wa uadui" na ametaka Ulaya iungane kushughulikia uhamiaji ni kuzuwia kuigeuza Bahari ya Mediterenia kuwa "kaburi la heshima".

Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki aliyazungumza kwenye hotuba yake refu ya kuunga mkono kuwakaribisha wahamiaji barani Ulaya iliyohitimisha kongamano la Kanisa lake juu ya masuala ya Bahari ya Mediterenia mjini Marseille, mji wa bandari wa Ufaransa ambao kwa karne kadhaa umekuwa makutano ya tamaduni na dini mbalimbali.

"Kuna kilio cha maumivu kinachotugusa sote, na kinaibadilisha Mediterenia, bahari yetu, kutoka kuwa chanzo cha ustaarabu na kuwa, bahari ya mauti, kaburi la heshima: ni kilio cha masikitiko cha kaka na dada zetu wahamiaji", alisema.

Papa Francis alipokelewa kwenye mji huo na Rais Emmanuel Macron ambaye baadaye walipangiwa kuwa na mkutano wa faragha siku ya Jumamosi (Septemba 23) kabla ya kurejea mjini Roma.

Papa aliianza siku hiyo kwa kukitembelea kituo kinachowahudumia wenye mahitaji katika wilaya ya Mtakatifu Mauront, mojawapo ya maeneo masikini kabisa nchini Ufaransa, kinachosimamiwa na watawa na kilichoanzishwa na Mtakatifu Mama Teresa.

Chanzo: Nipashe
Duh.
 
Maisha ya mwanadamu ni kusafiri,Karne na Karne watu wamekuwa wakihama bila usumbufu.Hata hapa tulipo Tanzania siyo asili yetu utakuta mababu walitoka Cameroon , Egypt, Ethiopia,SA,nk.Ujiulize Kwa nini walihama..Freedoms of movement ni asili yetu...Kinachosumbua ni maendeleo yaliyoleta ubinafsi...Dunia inapaswa kuwa mahala guru Kwa mtu kuishi popote anapopenda..Kumbuka hata hapo Zanzibar,kilwa,paliwahi kukaliwa na wareno,waarabu,wazungu nk Kwa vipindi tofauti...
Unaongea kama vile ni rahisi. Hebu jaribu kuhamishia ndugu zako wote kwako, hasa wale wenye maisha duni halafu uje uandike tena.
 
I 'pity Europe'.
If 1,000 people manage to cross a day. That equals to 365,000 illegal migrants per annum.
In ten years, it equals to 36,500,000 migrants.
In twenty years?
Migrant crisiss is real.
Europe should invest in creating jobs in Africa to easy migration crisiss.
 
My Take
Inakuaje Miafrika inajua kabisa inakataliwa na kutumbukizwa kwenye Bahari lakini inalazimisha kwenda Ulaya?

Wacha wafe Sina huruma na ujinga Mimi.

----

MKUU wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita "uzalendo wa uadui" na ametaka Ulaya iungane kushughulikia uhamiaji ni kuzuwia kuigeuza Bahari ya Mediterenia kuwa "kaburi la heshima".

Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki aliyazungumza kwenye hotuba yake refu ya kuunga mkono kuwakaribisha wahamiaji barani Ulaya iliyohitimisha kongamano la Kanisa lake juu ya masuala ya Bahari ya Mediterenia mjini Marseille, mji wa bandari wa Ufaransa ambao kwa karne kadhaa umekuwa makutano ya tamaduni na dini mbalimbali.

"Kuna kilio cha maumivu kinachotugusa sote, na kinaibadilisha Mediterenia, bahari yetu, kutoka kuwa chanzo cha ustaarabu na kuwa, bahari ya mauti, kaburi la heshima: ni kilio cha masikitiko cha kaka na dada zetu wahamiaji", alisema.

Papa Francis alipokelewa kwenye mji huo na Rais Emmanuel Macron ambaye baadaye walipangiwa kuwa na mkutano wa faragha siku ya Jumamosi (Septemba 23) kabla ya kurejea mjini Roma.

Papa aliianza siku hiyo kwa kukitembelea kituo kinachowahudumia wenye mahitaji katika wilaya ya Mtakatifu Mauront, mojawapo ya maeneo masikini kabisa nchini Ufaransa, kinachosimamiwa na watawa na kilichoanzishwa na Mtakatifu Mama Teresa.

Chanzo: Nipashe
Naona hizi ni siasa tu. Kwani Rumi imesahau watu zaidi ya 5 million waliouwawa kipindi cha Dark Ages na kanisa? Anyway, time will tell. Anytime, pale Kanisa linapoungana na Serikali, ni majanga na historia ina tabia ya kujirudia.
 
Back
Top Bottom