palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Akihutubia maelfu ya waumini na washabiki nchini Philippines, Kiongozi mkuu wa kanisa la Catholic duniani (jina mtanisaidia) ameonya kwamba ili amani iendelee duniani, uhuru wa vyombo vya habari au raia kujieleza au kueleza jambo lolote usiguse/usikwaze imani za wengine. Binafsi ninamuunga mkono 100, kazi kwenu wanajamvi.
Angeanza na Ponda na wafuasi wake. Halafu Pope angekemea pia haki ya kuuwawa mtu kwa kosa la kuchapisha kikatuni tuu na wala asiogope kusema ukweli huo. Pope mbona kaka kimyaaa kulaani Boko haramu? Jeshi la Nigeria linapewa kwa makusudi silaha duni sana mpaka viatu vibovu wanapo kwenda kupigana na Boko Haram. Pop angeyasema yote haya.Akihutubia maelfu ya waumini na washabiki nchini Philippines, Kiongozi mkuu wa kanisa la Catholic duniani (jina mtanisaidia) ameonya kwamba ili amani iendelee duniani, uhuru wa vyombo vya habari au raia kujieleza au kueleza jambo lolote usiguse/usikwaze imani za wengine. Binafsi ninamuunga mkono 100, kazi kwenu wanajamvi.
Angeanza na Ponda na wafuasi wake. Halafu Pope angekemea pia haki ya kuuwawa mtu kwa kosa la kuchapisha kikatuni tuu na wala asiogope kusema ukweli huo. Pope mbona kaka kimyaaa kulaani Boko haramu? Jeshi la Nigeria linapewa kwa makusudi silaha duni sana mpaka viatu vibovu wanapo kwenda kupigana na Boko Haram. Pop angeyasema yote haya.
Wafaransa waliwahi kumtia pope korokoroni kingine kuna wajinga humu hawajui uislamu ni arabic version ya ukatoliki. Ni rahisi papa ku-sympatize na uislamu kuliko utu kwa sababu nilizotoa hapo juu. Wakatoliki demotes jesus indirectly while muslims demotes jesus directly.
Wafaransa waliwahi kumtia pope korokoroni kingine kuna wajinga humu hawajui uislamu ni arabic version ya ukatoliki. Ni rahisi papa ku-sympatize na uislamu kuliko utu kwa sababu nilizotoa hapo juu. Wakatoliki demotes jesus indirectly while muslims demotes jesus directly.
Taabu tupu kuwa na Pope mpenda misifa kama Mcharo. Yaani anaunga mkono terrorism?If my good friend Dr Gasparri says a curse word against my mother, he can expect a punch in the nose." Throwing a pretend punch, the Pope said: "It's normal. You cannot provoke.
" Taabu tupu kuwa na Pope mpenda misifa kama Mcharo. Yaani anaunga mkono terrorism?
I like this Pope.
He is very reasonable.
Freedom of speech must be exercised responsibly.
Taabu tupu kuwa na Pope mpenda misifa kama Mcharo. Yaani anaunga mkono terrorism?
''One cannot Provoke, One Cannot Insult Other People's Faith, One Cannot Make Fun of Faith. There is a limit. Every Religion Has its Dignity."I like this Pope.
He is very reasonable.
Freedom of speech must be exercised responsibly.