Papa Francis kuongoza ibada ya Wakatoliki Misri

Papa Francis kuongoza ibada ya Wakatoliki Misri

Egypt nchi ya Kiislamu..
Makafiri wanafanya nini pale...
Wanatia najisi tu nchi za watu...
Mimi ningelikua Presida wa Egypt ningepiga marufuku hakuna cha Papa wala Nyangumi kuingia.
Egypt siyo taifa la kiislam
 
Egypt nchi ya Kiislamu..
Makafiri wanafanya nini pale...
Wanatia najisi tu nchi za watu...
Mimi ningelikua Presida wa Egypt ningepiga marufuku hakuna cha Papa wala Nyangumi kuingia.
Infact, Egypt ni nchi ya kikristo, uislam ulivamia na utajiondosha wenyewe because of barnarism and savagery practiced by moslems
 
Egypt nchi ya Kiislamu..
Makafiri wanafanya nini pale...
Wanatia najisi tu nchi za watu...
Mimi ningelikua Presida wa Egypt ningepiga marufuku hakuna cha Papa wala Nyangumi kuingia.
Hili nalo ni tatizo sugu.Yaani uko mahututi bila kujielewa.Yawezekana leo wewe ni muislamu uko nchi ambayo ni christian majority una uhuru wote kama sasa na hausumbuliwi na mtu.Iweje ukatae wengine kuingia na kuishi nchi za kiislamu.
Nina mashaka na elimu ya madarasa ifumuliwe kule kutakuwa na tatizo.
Mungu akuponye kichwani kwako mindset yako iko danger.
 
Egypt nchi ya Kiislamu..
Makafiri wanafanya nini pale...
Wanatia najisi tu nchi za watu...
Mimi ningelikua Presida wa Egypt ningepiga marufuku hakuna cha Papa wala Nyangumi kuingia.
Egpty wala Saudi Hakuna uislamu ila kuna sheria Kali za kipindi cha Musa, waarabu hawana undugu na wewe mweusi Kama mkaa Ndio maana mabinti weusi toka huku wakiislam wakifika huko wanateswa, Islam ni huku east Africa huko ni sheria Kali,
 
Infact, Egypt ni nchi ya kikristo, uislam ulivamia na utajiondosha wenyewe because of barnarism and savagery practiced by moslems
Wale misri na saudia wanachinja watu hadharani na wanaswali tofauti na huku, Nimeishi huko 3 years hunidanganyi, wana sheria zao Kali sio uislamu, uvaaji kwa wanawake, ukaaji kwenye magari ni sheria huko, huko hawezi ongozana na demu kwenda kula bata labda mkeo, Sio uislamu wala huko hakuna uislamu ujuao wewe wa Manzese au Pemba, wale hata swala zao tofauti Sana
 
Egypt siyo taifa la kiislam
Msichanganye mambo hata uisrael hakuna ukristo unaoujua wewe ni kikundi cha watu tu, kuna sheria za kiyahudi na serikali hata Saudi Arabia hakuna uislamu huko bali ni kikundi cha watu tu, Haya mambo ya ukristo na uislamu ni kelele zinazotokana na umaskini hasa Tanzania, Njaa inasababisha watu waokoke na wawe swala tano
 
Egypt nchi ya Kiislamu..
Makafiri wanafanya nini pale...
Wanatia najisi tu nchi za watu...
Mimi ningelikua Presida wa Egypt ningepiga marufuku hakuna cha Papa wala Nyangumi kuingia.
Mimi muislam lkn siwezi kumuita MTU mwingine Kafiri na wakati anadini yake,navyojua hiyo ni kashfa kafiri ni yule asiesmini katika mungu.sasa jitafakari ndugu Acha kashfa
 
Ipo siku utakuja kusikia misri ni taifa la israel na mafarao wote wanakuwa chini ya mwisrael kama ambavyo palestina wanavyotaka uhuru kwa mwisrael hapo ndipo utakapojua Mungu ndiyo fundi na hana papara.
 
_95838385_papa-bbc.jpg


Papa Francis ataongoza misa ya Wakatoliki nchini Misri hii leo katika siku ya pili na ya mwisho ya ziara yake ya Cairo.

Ibada hiyo itafanyika katika uwanja wa wanajeshi, na itaongozwa kwa lugha ya Kiarabu na Kilatino.

Anatarajiwa kurejelea ujumbe wake wa jana ambapo aliwarai viongozi wa dini zote kukemea uhalifu wowote unaotekelezwa kwa misingi ya kidini.

Jana Papa Francis alizuru kanisa moja mjini Cairo Misri ambapo takriban Wakristo 30 waliuawa katika shambulio lililotekelezwa na wapiganaji wa Islamic State mwezi Disemba mwaka jana.

Aliandamana na kiongozi wa kanisa la Coptic nchini humo, Pope Tawadros.
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Back
Top Bottom