Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,478
.....umefanya nini !?Ufunuo wa Yohana 22:19
Baba na Bwana wana tofauti !?Papa amechemka...Hakuna kitu kama Sala ya "baba yetu"....ile huitwa "sala ya bwana"
Kasome.....umefanya nini !?
Mwambie akopi yakwetu imekamilika, ipo hivyo hivyo kwa mitume wote.Habari zenu wanajukwaa.
Kwa mujibu wa BBC ni kuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis ametaka sala ya Baba yetu ifanyiwe marekebisho. Lile neno "Usitutie ktk vishawishi" anasema Mungu hatii watu ktk vishawishi ila watu hutafuta au hufuata vishawishi wenyewe.
Wapi ? ....humu JF kuna ufunuo ?Kasome
Kwani huna biblia ndugu.....umefanya nini !?
Ni heri ungepita kimyaBaba na Bwana wana tofauti !?
....ni katika 'mukhtadha' ! Ni heri ungesimama kimya.Ni heri ungepita kimya
Wewe ni dhehebu gani kwanza?Papa amechemka...Hakuna kitu kama Sala ya "baba yetu"....ile huitwa "sala ya bwana"
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForumsHabari zenu wanajukwaa.