Huyu nae pasua sana,aise!Papa agoma kuishi Ikulu: KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameendelea kuwa kiongozi wa matukio yanayopingana na watangulizi wake, ambapo sasa amekataa kuhamia katika makazi ya kifahari ya Papa
Huyu papa wenu nae.....dunia ya siku hizi usalama nao unakipaumbele chake......yy ubishi tu.
Sio ufahari ni security yake,haya[h=5]Papa agoma kuishi Ikulu: KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameendelea kuwa kiongozi wa matukio yanayopingana na watangulizi wake, ambapo sasa amekataa kuhamia katika makazi ya kifahari ya Papa[/h]
Mungu atamlinda kwa imaniHuyu papa wenu nae.....dunia ya siku hizi usalama nao unakipaumbele chake......yy ubishi tu.
Amen..Mwacheni Papa aishi apendavyo..Kufa kila mtu atakufa..Ndio maana Paulo alisema kuishi ni kristo na kufa faidaKwenye ulinzi wala usiwe na wasiwasi.Wapo Swiss guards na Roho Mtakatifu.
Ni jinsi shirika la mt fransis linavyoelekeza kuwa waishi maisha ya kawaida na kuwajali maskini!
Hebu wacha kutulisha matango pori hapa..shirika ni la Jesuit ila MAISHA YA MT.FRANCIS yalikua ya kawaida na kuwajali masikini japokua alikua tajiri sana!
Ingawa mie siyo mkristu lakini naamini kuwa kila cheo au wadhifa una masharti yake. Mfano huwezi kuwa kiongozi wa Bank usivae tai kama wewe ni mwanaume. Kuna vitu tunafanya kwa sababu ya kuheshimu aidha wadhifa au kiti. Haya mambo ya kufanya unayoyataka na si ofisi inayotaka ndo maana tunavurunda. Naamini ataelekezwa na kufuata taratibu za msikiti wake. Sababu za yeye kuwa falagha ni nyingi kwani anaweza kufanya jambo likakwaza wengi au kufanya watu wadharau upapa. Kuna msemo kuwa ili uheshimiwe ni lazima usifahamike. Mtu akikufahamu kiundani anapunguza heshima. Hivyo ndugu zangu kama wewe ni kiongozi epuka mwingiliano (wakati ukiwa kiongozi) kwa heshima ya wadhifa. Umbali huongeza mapenzi vile vileAmen..Mwacheni Papa aishi apendavyo..Kufa kila mtu atakufa..Ndio maana Paulo alisema kuishi ni kristo na kufa faida
huyu papa naye kazidi ubishoo!
Papa agoma kuishi Ikulu: KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameendelea kuwa kiongozi wa matukio yanayopingana na watangulizi wake, ambapo sasa amekataa kuhamia katika makazi ya kifahari ya Papa