Alisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......Haisaidii.
Huyo si ndiyo yule Papa aliyeanza kusema sala ya "Baba Yetu Uliye Mbinguni" kwenye biblia haina mantiki ibadirishwe.
Usingemjibu huyo mfarisayo alimsulubisha yesuAlisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......
Usilete upotoshaji ....
Ok sikujua hilo mkuu .......Usingemjibu huyo mfarisayo alimsulubisha yesu
MkuuHaisaidii.
Huyo si ndiyo yule Papa aliyeanza kusema sala ya "Baba Yetu Uliye Mbinguni" kwenye biblia haina mantiki ibadirishwe.
Alisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......
Usilete upotoshaji ....
Mkuu
Ukitakiwa Upimwe Mkojo Ama Ukiitwa Mchochezi Hapo Unaonaje? π±ππ
*********************
Mungu Ni Mwema Sana
Usingemjibu huyo mfarisayo alimsulubisha yesu
Kennedy,
Mkuu,
Kwani si yeye ndiye alisema au hapo nimemlisha maneno!?
Poise, nilichofanya ni kunukuu maneno yake huyo papa.
Mkuu, ama siku hizi ni makosa hata kunukuu maneno ya mtu aliyoyasema yeye mwenyewe!?
Mungu Ni Mwema Sana
Uwe Na Amani Moyoni π
Mfano, Hayati Mwl Nyerere, alisema; namnukuu "Rushwa ni Adui wa Haki" hapo napo nitaitwa mchochezi au nitapimwa mkojo!?
Basi, mkuu mwenyewe hizi dini sijawahi kuwa mfuasi ndiyo nimejiunga mwaka huu 01/01/2018 japo nina umri wa miaka 70 sasa.

Twende polepole mkuu. Kwani yale maneno yalitungwa na watu au yaliandikwa na manabii kupitia roho mtakatifu?Alisema haina mantiki au sehemu inayosema "usitutie katika kishawishi" ndo pabadilishwe kwani Mungu hamtii Mtu majaribuni ......
Usilete upotoshaji ....
Wewe ni farisayo tu ulimsulubisha yesu na bado unaendelea msulubisha yesuedwayne,
Mkuu,
Unasema Mimi Poise ni mfaraisayo na nilimsulubisha huyo Yesu Kristo!?
Duuuuuuh!!
Ujue nina umri wa 70 years old huyu Yesu ambaye sasa nimekuwa mfuasi wake juzi tu hivi tarehe 01/01/2018 nimesikia story kuwa ni zaidi ya miaka 2000+ sasa tangia azaliwe na kusulubiwa
Mkuu, sasa, hapo naanzaje kumsulubisha Yesu kwa mfano na huo umri wangu wa namba za viatu !?
Mkuu, naomba utubu.