Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa. Panya wa pili;mi naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu.
Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "naenda kufanya mapenzi na paka"