Panya wa SUA kutumika kugundua TB maeneo mbalimbali duniani


fungi

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Messages
2,499
Likes
4,268
Points
280
fungi

fungi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2014
2,499 4,268 280
Wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine nchini Tanzania wanapanga kuwatuma panya waliopokea mafunzo kwenda kutumiwa kugundua kifua kikuu nchi za nje.

Panya hao, ambao awali walitumiwa kugundua mabomu yaliyoachwa chini ya ardhi, kwa miaka kadha sasa wamekuwa wakitumiwa kugundua watu wanaougua kifua kikuu sana katika magereza na viwandani.

Panya hao, ambao kiteknolojia hujulikana kama panya wa SUA-APOPO, wamebainika kuwa hugundua visa vya maambukizi ya kifua kikuu haraka na kwa ufasaha.

Panya hao hudaiwa kuwa na uwezo wa kupima sampuli 140 za makohozi kwa dakika 15 tu, wakati mtaalamu wa maabara aliyebobea huweza kupima wagonjwa 25 kwa siku.

Awali, walitumiwa Tanzania na Msumbiji pekee.

Lakini sasa chuo kikuu hicho kinapanga kuwapeleka Ethiopia na Bangladesh wakatumiwe huko.

Ethiopia ni moja ya nchi zilizotatizwa zaidi na aina ya vijidudu vya kifua kikuu visivyosikia dawa.

Bi Mariam Juma, mmoja wa wanasayansi katika chuo hicho, amenukuliwa na gazeti la Daily News la Tanzania akisema kwamba kutafunguliwa pia kituo jijini Dar es Salaam.

Akihutubia wanahabari katika maonesho ya biashara ya Dar es Salaam, Bi Juma alisema maafisa pia watawahimiza watu kujipima kujua hali yao.


7f7551377d1e284be9e55f9f7c20986e.jpg
 
GOLDGREEN9

GOLDGREEN9

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
359
Likes
187
Points
60
GOLDGREEN9

GOLDGREEN9

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2016
359 187 60
Good news to me sab huwa ninampango wa kuwafuga hawa samaki wachanga,sisimizi,siafu,mende,n.k
 
The Businessman

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Messages
7,434
Likes
7,264
Points
280
The Businessman

The Businessman

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2014
7,434 7,264 280
Tunaacha kuvumbua teknolojia za viwanda eti tunagundua Panya anayegundua TB...Nilisikia pia hao panya wanategua na mabomu...!!
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,212
Likes
48,013
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,212 48,013 280
SUA ni chuo bora kabisa Tanzania bado sijaona wa kukipiku kwa research na gunduzi zao za kila siku.
 

Forum statistics

Threads 1,239,129
Members 476,369
Posts 29,343,548