Panya Road wajitokeza Kijitonyama

Lambardi

Platinum Member
Feb 7, 2008
17,937
20,282
Habari wana Bodi:

Naomba kujulisha umma wa Watanzania kuwa wale watoto watukutu wanaovamia majumba na maduka wamezuka tena mitaa ya Kijitonyama! Dakika 20 zimepita wamepita mitaa ya Kijitonyama karibia na Mesuma! Nimekutana nao nikiwa nakatiza mitaa hiyo! Mkuu wa wilaya na kamati yake ya Ulinzi na usalama! Salaam toka kwa vijana hao wa Panya road: nadhani wanatokea mitaa ya Tandale : Nawasilisha!!
 
Piga 112 utoe taarifa polisi kisha ndo upost however thanks for news
Nimeshakwenda Polisi Mabatini wamewasiliana na patrol zao....! Wale vijana wako smart sana! Wanajua muda wa polisi wetu kuji organize! Wao wanakuwa tayari wako majumbani wamesharudi! Inabidi intelijensia ya polisi itafute wakubwa wao....ndio Wacheze nao!
 
Utakuwa umetumwa na wauza Sukari na madada poa ututoe kwenye mada wewe si bure.
Acha mkuu wa Wilaya na mapolisi waendelee kututafutia kiungo ya chai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom