Panya Anayemsema Nape ni Nani?


Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)


Mke/demu wako wako ajishughulishe na nini kama wewe umehamia kwenye umbea na mipasho? Halafu mkiachwa mnawalalamikia Wanawake kumbe makosa ni yenu mmefanana nao, na wao wanataka Mwanaume na siyo Mwanaume Mwanamke!
 
Nape atulie sasa nafikiri siku akiondolewa pale Lumumba ndiyo mtamuonea huruma..

Nape aache kujifanya jasiri ilihali ni muoga, yaani nape ni mtoto wa mama sana harakati za siasa hataziweza, sana sana atajimaliza kisiasa, atulie kama Katibu wake, zama zimebadilika huu utawala siyo boss Nape....

Wakati ukiwa waziri ulipitisha sheria kandamizi kwa vyombo vya habari ndiyo mzimu wenyewe unaokuandama, boss Nape.....
 

Hili ni swali fikirishi. Huyu panya aliyeingia kwenye mtungi ni nani? Naiona hatari ambayo Nape anaitafuta ingawa lengo lake ni zuri kuuponya mtungi (ccm)

Hapa ameongea kifasihi. Hakuna panta CCM.kwa hiyo panya ni mtu. Ina mmana kuna mtu auwawe ili CCM ibaki sakama
.Sasa Nape utuambie upo mpango wa kumuua nani ili wewe na wenzako mbaki salama ? Tusiyapuuzie haya.Ni makubwa.
 
Nape anajuta kupoteza Ajira yake kwa kupigania Media dhidi ya Makonda kwa kuwa Leo Hii Nape na Makonda wakiitisha Press conference kwa pamoja wengi wataenda kwa Makonda
 
Nape mbona anamkosea heshima mwenyekiti Mbowe,kuna maisha baada ya siasa kaka yangu Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…