Panua uwezo

kimpe

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
910
Reaction score
862
Mtoto amekaa juu ya kaburi analia ghafla wanapita watu na kumuuliza unalia nini? akasema kaka wa maiti ni mjomba wangu je maiti na mtoto wana uhusiano gani?
 
Mtoto amekaa juu ya kaburi analia ghafla wanapita watu na kumuuliza unalia nini? akasema kaka wa maiti ni mjomba wangu je maiti na mtoto wana uhusiano gani?

majibu ni mengi mkuu, anaweza kuwa anyone kati ya mama yake, dada wa mama yake au kaka mwingine za mama yake
 
Hakuna maiti kaburini. Maiti anaitwa maiti kabla hajazikwa lakini mwili ukishazikwa, si maiti tena bali ni marehemu. That is Kiswahili.
 
Marehemu ni mjomba wake au mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…