Panga pangua ya machinga Buhongwa

ila huyu mwanadada , dc wa ilemela (Amina something (km sikosei)), ni jembe sana aisee. Namfuatilia huyu dada, hapa mama amepata mpambanaji........ni jasiri, anajiamini na ni mjuzi wa kuongea na muwazi! Safi sana!
 
Watanganyika kwa usahaulifu bwana, kuna mtu hajuhi kuwa hawa watu sio mara ya kwanza kupewa maeneo nje ya mji na wakarudi tena mjini?
Subirini hata kabla ya Krismass tutawaona tena mtaani kwa visingizio vile vile ya "kule hakuna wateja, miundombini mibovu, nk...
Kwanini wafanyabiashara wakubwa wasipelekwe nje ya mji na machinga wakapangiwa katikati ya mji?? kwa sababu ya mazoea kuna watu hawajanielewa!
 
Uhuni huo mnawapanga ndani ya dampo Buhongwa hii siyo poa alafu mnajisifu eti wapiga kura wetu..... Nyambaf!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom