Panasonic TV Imejilock.Nini Tatizo?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
854
140
Jamani watoto wamebonyeza tv yangu mpaka imejilock.inaonyesha kufuli la rang ya njano.Hakuna botton inayofanya kaz zaid ya ile ya kuzima na kuwasha.Naombeni msaada jaman!hako kakufuli ni ka njano.
 

Shakazulu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
956
280
Pole sana. Kwa kuanzia ungeangalia user manual yake kama kuna solution yoyote. Kama hauna manual yake basi jaribu ku-google kwa kutumia model number ya TV. Ikishindwa kabisa basi weka hapa model number ya TV tujaribu kukusaidia zaidi.
 

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
854
140
Pole sana. Kwa kuanzia ungeangalia user manual yake kama kuna solution yoyote. Kama hauna manual yake basi jaribu ku-google kwa kutumia model number ya TV. Ikishindwa kabisa basi weka hapa model number ya TV tujaribu kukusaidia zaidi.

user menu yake sijaipata.pia rimote yake ya awali ilikufa.sasa natumia rimot ya mchna.
 

twatwatwa

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
2,067
415
Iyo tv ni ya mchina ? Kama ya mchina shika limoti yako tafuta neno display ponyeza hapo kwa muda (hold) iyo kufuri itatoka
 

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
271
Kazi ndogo hiyo mpelekee Fundi wa tv mwambie akubadilishie IC ya MEMORY.kinachofanyika hapo anatoa hiyo iliyotunza kumbukumbu kuwa tv imelokiwa halafu anaweka IC kama hiyo hiyo ambayo yenyewe iko wazi.Ni hilo tuu Natumai bei yake yawezakuwa sh 10,000
 

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
854
140
Asanten kwa mawazo. Nimeshatatua tatizo.Nilibonyeza botton ya display mchezo ukaisha.
Asanteni sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom