Pan African Sports Club njooni jamvini

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Yah contrary to popular opinion binafsi si mshabiki mkubwa wa Yanga ila napenda tuu wanavyowaadhibu wale jeuri wanojiita Simba

Lakini my heart is with Pan Africa SC lakini tatizo letu Pan ni migogoro bwana duh!

Hivi tunaweza kutata migogoro yetu na kuweka uongozi mpya?

Hivi ilikuwaje mpaa akina Digosi wakaikataa katiba mpya?

Haya tena watu wa Pan uwanja wetu huu...

480px-Pan_African_FC_Logo.svg.png

Tatizo la Pan imekaa kiswahili swahili sana! Any way ila usihofu wadau watajitokeza tu.
 
Naikumbuka Pan ya miaka ya mwanzoni mwa themanini.Mohame Yahya Tostao, Mohamed Mkweche, Adolf Richard na wengineo. Walipozama ndo jumla sijui imekuwaje. Mpira wa TZ unaendeshwa kwa unazi na sio elimu...kuroga sana. Hapo ndipo kwenye kasoro. Elimu ya kuongoza team imetupiga chenga sana ndio maan migogoro kila siku haiishi
 
Yah contrary to popular opinion binafsi si mshabiki mkubwa wa Yanga ila napenda tuu wanavyowaadhibu wale jeuri wanojiita Simba

Lakini my heart is with Pan Africa SC lakini tatizo letu Pan ni migogoro bwana duh!

Hivi tunaweza kutata migogoro yetu na kuweka uongozi mpya?

Hivi ilikuwaje mpaa akina Digosi wakaikataa katiba mpya?

haya tena watu wa Pan uwanja wetu ndio hii
Hawa Pan inasemekana ule ubingwa wa mwaka 1983 walimwahidi mganga wao kumnunulia Landrover, kisha wakamtoroka. Basi huyo mzee akawafanyizia wakashuka daraja mwaka uliofuata na kuwalaani wasipande daraja tena.

Naona imepita miaka 25 bado wanakukuruka mchangani, mganga mwenyewe alishafariki siku nyingi!
 
Naikumbuka Pan ya miaka ya mwanzoni mwa themanini.Mohame Yahya Tostao, Mohamed Mkweche, Adolf Richard na wengineo. Walipozama ndo jumla sijui imekuwaje. Mpira wa TZ unaendeshwa kwa unazi na sio elimu...kuroga sana. Hapo ndipo kwenye kasoro. Elimu ya kuongoza team imetupiga chenga sana ndio maan migogoro kila siku haiishi

Umenikumbusha mbali sana; Juma Ponda, Mohd Mkweche, John Faya, Rashid Idd Chama, Jellah Mtagwa, Salum Mwinyimkuu Carlos/Adolf Rishard, Gordian Mapango, Hussein Ngulungu, Peter Tino, Mod Yahaya Tostao na Ally Katolila
 
so far kikao kilifanyika juzi usiku kwa Tambaza na hatujafikia makubaliano kuhusu katiba mpa

will keep you posted...
 
Kufikia makubaliano itakuwa ngumu sana kwasababu katiba mpya itabadili focus, setup ya team na hatimaye mfumo mzima wa uendeshaji wa timu na hivyo kuwaondoa kabisa katika mfumo wale ndugu zangu ambao wanaishi kwa kutegemea kodi ya lile jengo la Pan pale Kkoo. Kazi kwenu msije mkatoana mishipa!
 
so far kikao kilifanyika juzi usiku kwa Tambaza na hatujafikia makubaliano kuhusu katiba mpa

will keep you posted...
Nawashauri wanachama wa PAN wawaite watu hawa DR DAU, ELVIS MUSIBA, MUHIDINI NDOLANGA, JOHN SAMEUL MALECELA ili wakae nao pamoja kupata ushauri wao
 
Game Theory,

..kikao kimefikia wapi?

..nasikitika sana kuona timu yetu iko ktk matatizo namna hii.
 
Hawa Pan inasemekana ule ubingwa wa mwaka 1983 walimwahidi mganga wao kumnunulia Landrover, kisha wakamtoroka. Basi huyo mzee akawafanyizia wakashuka daraja mwaka uliofuata na kuwalaani wasipande daraja tena.

Naona imepita miaka 25 bado wanakukuruka mchangani, mganga mwenyewe alishafariki siku nyingi!
Ya kweli hayo mkuu!! kama ndivyo hivyo basi kaz ipo tanzania...
 
Back
Top Bottom