Pampula Live!

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
395854_3275701025112_228357678_n.jpg
Hii imetokea live jioni ya leo maeneo ya Tandale kwa bi nyau
 
Kinachonishangaza ni hiyo chupa hapo mkononi. Na kuanguka kote huko hajaachia boto???
 
"mbona wengi wanasema pombe ni adui wa binadamu lakini vitabu vya dini vinatuasa kuwapenda maadui zetu!!"
tatizo mbona mnachagua maadui wa kuwapenda kama vipi tuwapende majambazi maradhi kama ukimwi na vyote ambavyo tunahisi ni adui zetu kwa ujumla wake.sasa sisi utakuta tunampenda adui pombe,uzinzi ndio sanaaaaaa.
 
Kinachonishangaza ni hiyo chupa hapo mkononi. Na kuanguka kote huko hajaachia boto???

ni kawaida ya wanywaji anakuambia niangushe mimi usimwage pombe yangu cheki huyu dogo keshauzima lakina pombe iko stable

chicha.jpg
 
tatizo mbona mnachagua maadui wa kuwapenda kama vipi tuwapende majambazi maradhi kama ukimwi na vyote ambavyo tunahisi ni adui zetu kwa ujumla wake.sasa sisi utakuta tunampenda adui pombe,uzinzi ndio sanaaaaaa.

huuuwi unamaana tuipende na ccm pia maana ndio adui nambari one hee nambari wani ni ccm
 
Back
Top Bottom