iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Sio siri hali ya mwananchi wa kawaida kiuchumi ni mbaya,najua Lumumba watakuja na hoja kwamba wapiga dili wamedhibitiwa,hapa namuongelea mwananchi ambaye anauza mihogo,karanga,mtu wa kawaida analia,je hizo pesa za waliokuwa wasafiri kwenda nje ziko wapi?mbona hazisaidii uchumi wa nchi na watu wa kawaida?ziko wapi?kwa nini kipindi hiki umasikini umekithiri,tena miezi sita tangu awamu ya tano ianze? Nashauri tuchukue hatua mapema,sukari sasa inafilisi wananchi wakati mapato yao ni 2000 kwa siku,sukari inauzwa 3000