Pamoja na mvua kuletwa na Mwenyenzi Mungu wapo wanasiasa watampongeza mwanasiasa mwenzao kwa kuondoa mgao wa umeme ndani ya miezi sita

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,109
Tuna tatizo la umeme linalochangiwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa. Tumeanza kuona Rehema za Mungu mvua inanyesha hivyo maji yataongezeka na mgao utaisha.

My worry for politicians; wataingia kwenye majukwaa nakusifia kwamba wameondoa tatizo la umeme ndani ya miezi sita. Ukiwauliza wametumia mikakati gani hapo utaitwa majina yote mabaya.

Let us be focused, tusibweteke na mvua za msimu tutafute permanent solution ya changamoto ya umeme nchini hali hii isijirudie tena
 
Kwani mgawo wa umeme umekwisha bwashee..?

Ofcoz huku kwetu Shinyanga tangu jana J2 umeme uko na tumeamka nao leo J3 na mpaka sasa around saa 5usiku huu upo tu haujakatika mpaka Kila mtu anashangaa..

Kasoro moja tu, ni kuwa upo lakini hauko stable maana Kwa masaa 24 unaweza kuwa unawaka na kukatika katika hata mara hamsini..!!!

By the way, Je, inawezekana haya ndio matunda ya mvua hizo zinazonyeesha au hizi siku mbili kuna kiongozi fulani mkubwa wa serikali yuko huku..?

Nauliza tu Kwa sababu nchi hii imejaa utendaji wa viongozi wajinga sana. Yaani eneo lenu linatembelewa na mtu kiongozi kama Waziri Mkuu au Rais, basi;

√. Mabomba ya maji siku hiyo yatatoa maji..!
√. Umeme siku hizo hautakatika katika hovyo..!
√. Barabara siku hizo zitachongwa kumwagiwa maji..!
√. Sawa hospitalini siku hizo zitakuwepo..!

Huyo kiongozi akishaondoka eneo hilo, huondoka na yote hayo na kila kitu linabaki kuwa business as usual..
 
Tuna tatizo la umeme linalochangiwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa. Tumeanza kuona Rehema za Mungu mvua inanyesha hivyo maji yataongezeka na mgao utaisha.

My worry for politicians; wataingia kwenye majukwaa nakusifia kwamba wameondoa tatizo la umeme ndani ya miezi sita. Ukiwauliza wametumia mikakati gani hapo utaitwa majina yote mabaya.

Let us be focused, tusibweteke na mvua za msimu tutafute permanent solution ya changamoto ya umeme nchini hali hii isijirudie tena
February Marope acha kuweweseka ulipewa wizara ukakomalia kuiba na kupiga madili tuliza upara mzee unayejiita kijana
 
Kuna bango limeandikwa hivi na chawa wa Samia:
"ASANTE SANA MHE. RAIS SAMIA KWA MGAO WA UMEME"

Sasa sijui huyo chawa anaelewa maana ya alichokiandika!??
 
Back
Top Bottom