Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,635
some pipo buana yaani umecheka tuuu!!Nimecheka sana
some pipo buana yaani umecheka tuuu!!Nimecheka sana
Muache kijana apate uzoefu bana ni sehemu ya uhai!! atasimulia nini uzeeni?? atawafundishaje vijana wake waache umapepe km hayajui mapepe? kama hana uzoefu km huu?? atajuaje kuwa Dunia na watu wake wako ivo walivo? ???Brother hiyo pesa ya kodi ungemnunulia mke wako kitengo kikali sana na kumtoa out mkakumbushie siku ya kwanza mlivyoonana haki kwenye moyo wako ungepata Amani sana ya moyo wako.
HahahaaaAsiye na akili hapo ni wewe. Mpuuzi mkubwa wewe
Ulitaka nilie??some pipo buana yaani umecheka tuuu!!
Yaan unalalamika kuonewa wakati umezungushia uzio eneo la wazi!Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara).
Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana nikajua situation ngumu aliyokuwa akipitia kiuchumi (mwanachuo UD). Kwa sababu hali yangu kiuchumi ilikuwa vzr nikaona nimsaidie.
Since that time nimekuwa nikimsaidia kama ndg mpk sometime ada (maana hana mkopo na ametoka familia duni)
Anajua nina mke na familia.
Siku moja yule kijana aliniomba nimtembelee(amepanga mtaani)
Nikaenda na kumkuta na yule binti
Tukapiga story kdg then yule kijana akatoka bila kuaga(sikujua kama walipanga ama la!)
Ukweli sikumbuki kilichotokea ila tulijikuta tumesex bila kutongozana wala kuongea chochote (maana navyokumbuka hisia zetu na macho ndo yalitufikisha kwwnye tendo). Kuanzia siku hiyo uhusiano ukazaliwa rasmi
Nikamhamisha chuon na kumpangia nje chumba na sebule na kumwekea kila kitu(akaahid kuheshim familia yangu)
Week mbili zilizopita nilisafir kwenda kufata mzg China nilipanga kukaa week 2 but nikageuza kabla ya week 2 sababu kulikuwa na dharula kijijin kwetu kwa wazee
Sikumwambia huyu binti wala mke wangu
Nimefika Dar nikaunga kwa huyu binti? Cha kushangaza nimemkuta wamelala na huyu kijana mwanafunzi wangu.
Sijawafanya kitu nimempigia mwenye nyumba akaja nikafunga chumba yeye na mwenzake wakatoka nje.
Wanaomba msamaha (asubuh/mchana /jion)
Sasa najiuliza iv huyu binti ana akili kwel? Pamoja na msaada wote niliompa bado mtu anatoa wap ujasir wa kufanya ujinga kama huu?
Hii sio story ni tukio halisi limenipata jana jion