Pamoja na msaada wote niliompa bado anatoa wapi ujasiri wa kufanya ujinga kama huu?

Brother hiyo pesa ya kodi ungemnunulia mke wako kitengo kikali sana na kumtoa out mkakumbushie siku ya kwanza mlivyoonana haki kwenye moyo wako ungepata Amani sana ya moyo wako.
Muache kijana apate uzoefu bana ni sehemu ya uhai!! atasimulia nini uzeeni?? atawafundishaje vijana wake waache umapepe km hayajui mapepe? kama hana uzoefu km huu?? atajuaje kuwa Dunia na watu wake wako ivo walivo? ???

Ukikamata mpunga bin Pesa manake uitumie pale unapo taka na ku hisi uko salama, siyo pesa ikutumie wewe!! na pia pale unapopenda kuitoa kwa kufurahisha na kusuuza roho kwa yule unaedhani anafurahi!! ukijua kabisa kuwa furaha yeyote ina mwanzo na mwisho.


Huyu kafika mwisho amehitimisha km hivo baaasi!! anaanza kwingine!! watu wote hawafanani!! na wala asikate tamaa kidume anza kwingine faster usije ukakonda ukaacha kwenda china tena bure!! wanaturoga sana hawa!! cha muhimu usiahau ile hirizi mfukoni!

Sawa labda angempeleka Mam sap wake outing!!!

Hata yeye huyo mamsap wake hukohuko viwanja angeweza kumpata jamaa Tycoon hatari akampenda!! na wakapendana ukawa mwanzo mwingine mpya wa kuitafuna roho ya kijana upya! na Kijana akalia kilio kikuu!! akajuta kumpeleka viwanja tena kwa hela yake mwenyewe!!

Kijana yeyote ukitaka amani ya mapenzi na uwe mtu kati ya watu usipatwe na magonjwa ya mlipuko wa moyo unapaswa uwe na vipusa hatari kama kumi hivi, kikiondoka hiki? hiki kinajazia nafasi faster! hapo hutakaa usononeke hata mara moja!

Kingine ukioa tu wewe ndo uwe mchawi zaidi ya kina dada au Mkeo! yaani uwe mbele yao mile 20 hivi!! uzijue Dawa za kulipua limbwata kisawasawa!! mfano LImbwata la kinyumenyume!! hili ni hatari kila akifanya linamgeuka yeye ndo anakupenda mara dufu!!!

Wanaume wote Tanzania na Duniani kote ni wahanga!! mtake msitake mtarogwa tu na wanawake, kwa taarifa yenu hata walokole ni hivohivo!! lengo ni ili muwalindie heshima yao!!

Labda tu usiwe na matumizi na papuchi zao utakuwa salama!! lakini watakuchimba tu kwa nini hii jamaa ako pesa lkn hataki kuzitumia papuchi zetu hizi maridadi ambazo wenzake wanazililia???

Na hapa wana JF mjue nawapa neno la ufahamu bure!! Kutokana na uzoefu!! sasa angalia asilimia 90% ya wanawake wote Duniani ni wachawi dhidi ya waume zao!! wao wanchowaza ni mapenzi tuuu!! tangu zama! chunguza!!

Wanajisemea kimoyo moyo km hawakuoni vile!! '' kama huyu kaka anishike hivi!! anikamate hivi!! tuishi hivi na hivi nipate watoto km yeye! baasi!! kwishne. ukiona mdada mawazo yake yako kinyume na hapo amesharogwa kitambo na shangazi yake!!

Ako msukuleni na mara nyingi hawaolewigi!! hata kuombwa papuchi tu nadra uongo jamani kinadada??! iko kazi!! wapowapo tu!! km hawapo. na ukiwaangalia vizuri kwa chat km wanalia hivi sometimes! sononeko lipo deep sana!! mpaka uwastue! ufahamu haupo sawa!!

yaani una hisi kabisa kimoyomoyo huyu!! tayari msukule huyu!! mbona kama hayupo hapa? yuko hivi? hiyo ni taarifa inazunguka akilini mwa me''kimyakimya hata ajifarague vipi!! sasa ukioa wa hivi ujue na wewe utafikia stage unalilia moyoni!

Hasa hawa wanaume wanaoanza na salaam km hii ''Mambo vepe dada!!?'' ile mdada kujibu tu hewani anapeleka message nzito yenye full taarifa kwa muuliza swali!!

OK!! ukiweza mdada muathirika jaribu ku piga kimya!! yaani km hujasikia hivi uone MAtokeo!!

Naenda zangu....
 
Sijafahamu umri wako ila inaaminika wasomi wengi ndio wanaoongoza kwa upuuzi, kama unafahamu dini nilakuruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja why usihalalishe sasa, kila jambo unalomtendea mwenzako hapo duniani linakurudia wewe mwenyewe tena mara mbili, kama mwanaume siwezi kukuunga mkono,na kama umeamua kumsaidia binti ungetoa tu bila kujari malipo ya sex, Hii ndio elimu ya Tanzania
 
Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara).

Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana nikajua situation ngumu aliyokuwa akipitia kiuchumi (mwanachuo UD). Kwa sababu hali yangu kiuchumi ilikuwa vzr nikaona nimsaidie.

Since that time nimekuwa nikimsaidia kama ndg mpk sometime ada (maana hana mkopo na ametoka familia duni)
Anajua nina mke na familia.

Siku moja yule kijana aliniomba nimtembelee(amepanga mtaani)
Nikaenda na kumkuta na yule binti
Tukapiga story kdg then yule kijana akatoka bila kuaga(sikujua kama walipanga ama la!)

Ukweli sikumbuki kilichotokea ila tulijikuta tumesex bila kutongozana wala kuongea chochote (maana navyokumbuka hisia zetu na macho ndo yalitufikisha kwwnye tendo). Kuanzia siku hiyo uhusiano ukazaliwa rasmi

Nikamhamisha chuon na kumpangia nje chumba na sebule na kumwekea kila kitu(akaahid kuheshim familia yangu)
Week mbili zilizopita nilisafir kwenda kufata mzg China nilipanga kukaa week 2 but nikageuza kabla ya week 2 sababu kulikuwa na dharula kijijin kwetu kwa wazee

Sikumwambia huyu binti wala mke wangu
Nimefika Dar nikaunga kwa huyu binti? Cha kushangaza nimemkuta wamelala na huyu kijana mwanafunzi wangu.
Sijawafanya kitu nimempigia mwenye nyumba akaja nikafunga chumba yeye na mwenzake wakatoka nje.

Wanaomba msamaha (asubuh/mchana /jion)

Sasa najiuliza iv huyu binti ana akili kwel? Pamoja na msaada wote niliompa bado mtu anatoa wap ujasir wa kufanya ujinga kama huu?

Hii sio story ni tukio halisi limenipata jana jion
Yaan unalalamika kuonewa wakati umezungushia uzio eneo la wazi!
 
Back
Top Bottom