Pamoja na msaada wote niliompa bado anatoa wapi ujasiri wa kufanya ujinga kama huu?

Wee jamaaa mwanzoni ulikuwa unachangia ujinga Sana...bila Shaka utakuwa umeulewa uboya wa mleta mada... Sasa Basi mtafute umelete hApa na yeye ashukuru kwa ushauri tuliompa japo Ni kwa ukali kidogo ila amejifusha,atulipe kwa shukrani japo ya Maneno Huo Uslam bhana

Unajua nyie mmetumia nguvu sana, sasa inabidi kuwe na upande wa kumfariji, sema ndo kesi kaikimbia kamwachia mdhamini.
 
Mkuu uliruka stage nini ? Unachezewa move na madogo ukajaa .kijijini wazazi wako wanashindia tembele we unakalia kuonga wachumba za watu .Acha uzinzi uende mbinguni ....
 
Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara).

Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana nikajua situation ngumu aliyokuwa akipitia kiuchumi (mwanachuo UD). Kwa sababu hali yangu kiuchumi ilikuwa vzr nikaona nimsaidie.

Since that time nimekuwa nikimsaidia kama ndg mpk sometime ada (maana hana mkopo na ametoka familia duni)
Anajua nina mke na familia.

Siku moja yule kijana aliniomba nimtembelee(amepanga mtaani)
Nikaenda na kumkuta na yule binti
Tukapiga story kdg then yule kijana akatoka bila kuaga(sikujua kama walipanga ama la!)

Ukweli sikumbuki kilichotokea ila tulijikuta tumesex bila kutongozana wala kuongea chochote (maana navyokumbuka hisia zetu na macho ndo yalitufikisha kwwnye tendo). Kuanzia siku hiyo uhusiano ukazaliwa rasmi

Nikamhamisha chuon na kumpangia nje chumba na sebule na kumwekea kila kitu(akaahid kuheshim familia yangu)
Week mbili zilizopita nilisafir kwenda kufata mzg China nilipanga kukaa week 2 but nikageuza kabla ya week 2 sababu kulikuwa na dharula kijijin kwetu kwa wazee

Sikumwambia huyu binti wala mke wangu
Nimefika Dar nikaunga kwa huyu binti? Cha kushangaza nimemkuta wamelala na huyu kijana mwanafunzi wangu.
Sijawafanya kitu nimempigia mwenye nyumba akaja nikafunga chumba yeye na mwenzake wakatoka nje.

Wanaomba msamaha (asubuh/mchana /jion)

Sasa najiuliza iv huyu binti ana akili kwel? Pamoja na msaada wote niliompa bado mtu anatoa wap ujasir wa kufanya ujinga kama huu?

Hii sio story ni tukio halisi limenipata jana jion
Ndugu mwl jifanye mjinga kula kwa wakati wako na mwanafunzi wako ale kwa wakati wake
Hapo itakuwa ngoma drop
Kumbuka lakini unafamilia
 
We si una ndoa yako lakini???? Hivi ni nani aliyehalalisha kutoka nje ya ndoa???
 
yani unatoa povu kisa umechapiwa mchepuko sasa je ungechapiwa mke..

hakuna mchepuko wa peke yako brazaaa

alafu kingine baki njia kuu usije ukampelekea shemeji magonjwa
 
Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara).

Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana nikajua situation ngumu aliyokuwa akipitia kiuchumi (mwanachuo UD). Kwa sababu hali yangu kiuchumi ilikuwa vzr nikaona nimsaidie.

Since that time nimekuwa nikimsaidia kama ndg mpk sometime ada (maana hana mkopo na ametoka familia duni)
Anajua nina mke na familia.

Siku moja yule kijana aliniomba nimtembelee(amepanga mtaani)
Nikaenda na kumkuta na yule binti
Tukapiga story kdg then yule kijana akatoka bila kuaga(sikujua kama walipanga ama la!)

Ukweli sikumbuki kilichotokea ila tulijikuta tumesex bila kutongozana wala kuongea chochote (maana navyokumbuka hisia zetu na macho ndo yalitufikisha kwwnye tendo). Kuanzia siku hiyo uhusiano ukazaliwa rasmi

Nikamhamisha chuon na kumpangia nje chumba na sebule na kumwekea kila kitu(akaahid kuheshim familia yangu)
Week mbili zilizopita nilisafir kwenda kufata mzg China nilipanga kukaa week 2 but nikageuza kabla ya week 2 sababu kulikuwa na dharula kijijin kwetu kwa wazee

Sikumwambia huyu binti wala mke wangu
Nimefika Dar nikaunga kwa huyu binti? Cha kushangaza nimemkuta wamelala na huyu kijana mwanafunzi wangu.
Sijawafanya kitu nimempigia mwenye nyumba akaja nikafunga chumba yeye na mwenzake wakatoka nje.

Wanaomba msamaha (asubuh/mchana /jion)

Sasa najiuliza iv huyu binti ana akili kwel? Pamoja na msaada wote niliompa bado mtu anatoa wap ujasir wa kufanya ujinga kama huu?

Hii sio story ni tukio halisi limenipata jana jion
Kwa hiyo hata kama si mmiliki ndo alete mtu wake kwenye nyumba ambayo mimi nalipa pango?

Acha akahangaike huko na kijana mwenzake.

oyaaa mkuu unachanganya watu na multiple ID zako ujue...

unaleta thread kwa ID nyingine na una quote watu na ID nyingine

kwa akili hii acha tu uchapiwe mchepuko wako
 
Mkuu hata kama imani yako inakuruhusu kuwa na wife zaidi ya mmoja sijaona kama umeandika kuwa ulimhalalisha au ulifunga nae ndoa huyo demu akawa mkeo halali. Ila kama imani yako imekuruhusu kuwa na mchepuko hapo una haki ya kuchukua hatua.
Umeleta mada huku ili ijadiliwe hivyo inabidi uvumilie michango yoyote inayotolewa tofauti na hapo ungekaa kimya umalize mwenyewe matatizo yako.
 
Tatizo mkuu umeleta mkasa wako huku jf hujui kila mtu Ni mtakatifu huku hakunaga wanaume wachepukaji Wala wakosaji kwaiyo vumilia tu
Hahahaa si kweli mkuu ila jamaa amechemka analalamikia demu kupigwa wakat na yeye anachepuka maana yake nn sasa!
 
Nakuomba uheshimu mapenzi yake kabisa wewe hakupendi ila afanyeje msamehe msaidie mwambie mapenzi basi mpe msaada na umrudishe kwenye hicho chumba. Na umuage kwa amani msaada wako usiuondoe mpk watakapi simama kwa miguu yao.
 
Huyu binti nilimjua kupitia kijana mmoja (huyu kijana ni mwanafunzi wangu zaman sana kabla sijaanza ualim na kuingia kwenye biashara).

Alikuwa rafiki wa huyu kijana. Ila through huyu kijana nikajua situation ngumu aliyokuwa akipitia kiuchumi (mwanachuo UD). Kwa sababu hali yangu kiuchumi ilikuwa vzr nikaona nimsaidie.

Since that time nimekuwa nikimsaidia kama ndg mpk sometime ada (maana hana mkopo na ametoka familia duni)
Anajua nina mke na familia.

Siku moja yule kijana aliniomba nimtembelee(amepanga mtaani)
Nikaenda na kumkuta na yule binti
Tukapiga story kdg then yule kijana akatoka bila kuaga(sikujua kama walipanga ama la!)

Ukweli sikumbuki kilichotokea ila tulijikuta tumesex bila kutongozana wala kuongea chochote (maana navyokumbuka hisia zetu na macho ndo yalitufikisha kwwnye tendo). Kuanzia siku hiyo uhusiano ukazaliwa rasmi

Nikamhamisha chuon na kumpangia nje chumba na sebule na kumwekea kila kitu(akaahid kuheshim familia yangu)
Week mbili zilizopita nilisafir kwenda kufata mzg China nilipanga kukaa week 2 but nikageuza kabla ya week 2 sababu kulikuwa na dharula kijijin kwetu kwa wazee

Sikumwambia huyu binti wala mke wangu
Nimefika Dar nikaunga kwa huyu binti? Cha kushangaza nimemkuta wamelala na huyu kijana mwanafunzi wangu.
Sijawafanya kitu nimempigia mwenye nyumba akaja nikafunga chumba yeye na mwenzake wakatoka nje.

Wanaomba msamaha (asubuh/mchana /jion)

Sasa najiuliza iv huyu binti ana akili kwel? Pamoja na msaada wote niliompa bado mtu anatoa wap ujasir wa kufanya ujinga kama huu?

Hii sio story ni tukio halisi limenipata jana jion

WEWE ULIPATA WAPI UJASIRI WA KUMSALITI MKEO NA FAMILIA KWA UJUMLA,,,,,,,,TUANZIE HAPO KWANZA
 
Back
Top Bottom