Pamoja na mambo mengine ila huyu ana kitu fulani

Pamoja na mambo mengine ila huyu ana kitu fulani

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
758
Reaction score
1,347
Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio.

Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi. Inamaana gani

Wakati jamaa aliinhiziwa kitu kwenye kinyeo, halafu baadae unaingiza vidole. Hakika utatoa kinyesi mikononi mwako, kuna watu hawana thamani na hawafikirii na kumbe ndio hao ambao akitumwa anafanya tu.

Angalia hii.




Haya mambo kuna watu wameyatengeneza na yanawaletea aibu
 
Katika video inaonyesha mchungaji akiwakumbusha waumini wake. Je wanakumbuka kuhusu ngwajimination? Aliwaambia. Lakini pia aliwaambia masuala kadhaa ya kiutabiri.

Mwishoni ambapo alianza kwenye intro yake, kuhusu wasiojulikana wanaoteka. Mwisho wao ni Aug, alielezea zaidi kwamba waliowaleta watawaondoa wao wenyewe kwa uelewa wangu mchache. Hii post. Nahisi mleta Uzi alikuwa na haraka
 
Back
Top Bottom