Pamoja na kwamba ni mchezo lakini....

Mmh macho Yangu au huyu jamaa kakalia chupa duh hii michezo ipigwe marufuku bhana.
 
Haumii makalio?

Sasa kwa bahati mbaya akiangukia shipa inakuaje hapo maumivu yake!
 
Jamaa kafanya hizo chupa kama pikipiki si umeona hiyo mikono ameshika usukani lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…