Pamoja na kuwa Uko Single....

Jamani Maty,

Mbona ni wakarimu sana tena kwa wote......! sasa kama hao wote uliwajaribu wakaingia mitini, si ungenijaribu na mimi kule kwenye tangazo sasa?

hahahaaaaaa sina vigezo bana nimeachika mara mbili lol
 
Hahahaaa mwalimu hiyo adhabu kubwa aseee punguza kidogo bathi lol

Haya nakubadilishia sasa elezia scientifically uwiano kati ya muda wa kupost thread/posts na usingle................... in 5 full pages A4.
 
Hahahaaaaaaa in five full pages lol mwalimu punguza bana huo muda wa kupost mada ni vikolombwezo tu inabidi tuweke tucheke kidogo maana hatuwezi kuwa siriaz sana hapa kama kwenye siasa lol. Nikirudi kwenye usingle mpenzi ni kweli unaumiza ni ngumu kumeza ila inabidi mtu ukubaliane tu na hali halisi mpaka hapo mungu atakapokuamulia.
 
Upo mpenzi bado tu hujapata mwenza? mi nasubiri umalize kuchuja huko mimi niweke wa akiba lol

....nimepata Maty....ila ungeshusha na wewe CV yako pengine........? halafu mi-shakwambia ujue nakuangalia tu ww hapo?
 
Unaniangalia nini tena nawe? mi mwenzio mahusiano ya kupeana CV aku. Wa kwangu mungu alompanga atakuja naturally
 
Maty hapo juu upo singo nini mbona umeng'anga'ania sana huku
 
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............

Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa (Na pengine wao wamekuwa wakipretend kunionyesha kuwa) Singles i.e. wale waliowahi kuwa na mahusiano na kisha wakakaraishwa na wenzi wao na wengine kuachiwa zawadi za watoto) kuwa wanayo amani now than kipindi walichokuwa na wenzi wao. Wengine tumediriki kuequate furaha ambayo tungeipata kutoka kwa wenzi wetu na ile tuipatayo toka kwa watoto wetu tulioachiwa= Utasikia Mtu akisema ............ah nina shida gani nikirudi nyumbani I just find my darling baby happy ananichangamsha and I am happy siku inapita (Hapa anarefer to mwanae kwa maana halisi ya mwanae----sio nick name ya husband or lover)

Nimekuwa nikisikia hadithi mbalimbali za arafiki (na ilipofika zamu yangu nikahisi kuwa it is the right decision) kuamua kuwa mwenyewe kwa kuwa nahisi sipati stress ambazo ningezipata wakati niko na mwenzi wangu. But I think it is not true...........There is something missing in the life of the loners/singles and the alike

I am not sure if it is true or its me ............. Ninaomba msaada wenu.
That is very true...kuna kitu kina miss bwana maana mbili au tatu sio sawa na moja. Ila sasa happiness comes first in life. It depends on how you want to run the show, but kweli ni ngumu sana kuishi bila mwenza pembeni kama ulianza na kuzoea maisha hayo.
 
Unaniangalia nini tena nawe? mi mwenzio mahusiano ya kupeana CV aku. Wa kwangu mungu alompanga atakuja naturally

Ha!ha!ha!haaaa.....just onesha nia bana....CV isikutishe ww.....! siku hizi naturally hawaji, wakija ni magarasa tu....linakufahamu vizuri, linajua na wewe unamkwanja au uko fit ndo linaibuka....hapa kwenye PC hunijui, onesha nia......kitu utakachopata hapa kweli kitakuwa kimetoka kwa bwana.....maana ni giza giza maavatar tu na tujina tuzuri ....yaani kazi kweli!

But Maty one day takwambia kitu wewe hapo....ha!ha!ha!ha!......Wapi my Tusker....!
 
That is very true...kuna kitu kina miss bwana maana mbili au tatu sio sawa na moja. Ila sasa happiness comes first in life. It depends on how you want to run the show, but kweli ni ngumu sana kuishi bila mwenza pembeni kama ulianza na kuzoea maisha hayo.
Ndahani aksante sana mpenzi wangu .........afu we mmakenika nini maana hiyo avatar lol
 
MJ1,mi napenda kumueka Mungu kwanza,mtu akiwa single and a mother Mungu ndo awe mumewe moyoni,.i know kuna times one needs some1 to be there,but there are people who are together for even 20years and walichoambulia ni Magonjwa,kupigwa,heataches zisizoisha etc..so one has to thank God and believing that God has a purpose for everything..its hard i admit,sana tu but being given the ability to wake up in the morning and doing what you want,thats the very best gift!With prayers all is well.
 
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............

Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa (Na pengine wao wamekuwa wakipretend kunionyesha kuwa) Singles i.e. wale waliowahi kuwa na mahusiano na kisha wakakaraishwa na wenzi wao na wengine kuachiwa zawadi za watoto) kuwa wanayo amani now than kipindi walichokuwa na wenzi wao. Wengine tumediriki kuequate furaha ambayo tungeipata kutoka kwa wenzi wetu na ile tuipatayo toka kwa watoto wetu tulioachiwa= Utasikia Mtu akisema ............ah nina shida gani nikirudi nyumbani I just find my darling baby happy ananichangamsha and I am happy siku inapita (Hapa anarefer to mwanae kwa maana halisi ya mwanae----sio nick name ya husband or lover)

Nimekuwa nikisikia hadithi mbalimbali za arafiki (na ilipofika zamu yangu nikahisi kuwa it is the right decision) kuamua kuwa mwenyewe kwa kuwa nahisi sipati stress ambazo ningezipata wakati niko na mwenzi wangu. But I think it is not true...........There is something missing in the life of the loners/singles and the alike

I am not sure if it is true or its me ............. Ninaomba msaada wenu.
U miss some1 who when around him u can be yourself..you can sit together and watch your lives sunsetting in the olld age horizon!!keep searching!!sirudi...
 
Back
Top Bottom