Pamoja na kuwa Uko Single....

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Darlings. Sweethearts, Brothers and Sisters............

Nawasalimu kwa jina la Allah, Almight GOD ..............na JF anayetuunganisha kwa umoja wetu.
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuwa (Na pengine wao wamekuwa wakipretend kunionyesha kuwa) Singles i.e. wale waliowahi kuwa na mahusiano na kisha wakakaraishwa na wenzi wao na wengine kuachiwa zawadi za watoto) kuwa wanayo amani now than kipindi walichokuwa na wenzi wao. Wengine tumediriki kuequate furaha ambayo tungeipata kutoka kwa wenzi wetu na ile tuipatayo toka kwa watoto wetu tulioachiwa= Utasikia Mtu akisema ............ah nina shida gani nikirudi nyumbani I just find my darling baby happy ananichangamsha and I am happy siku inapita (Hapa anarefer to mwanae kwa maana halisi ya mwanae----sio nick name ya husband or lover)

Nimekuwa nikisikia hadithi mbalimbali za arafiki (na ilipofika zamu yangu nikahisi kuwa it is the right decision) kuamua kuwa mwenyewe kwa kuwa nahisi sipati stress ambazo ningezipata wakati niko na mwenzi wangu. But I think it is not true...........There is something missing in the life of the loners/singles and the alike

I am not sure if it is true or its me ............. Ninaomba msaada wenu.
 
una miss mtu wa kumlaumu na kumnunia....
wa kumkumbatia na kumgusagusa
wa kwenda nae mbele za watu,mfano harusi...

una miss pia vingi.....
 
sasa hivi ni saaa ngapi?

nadhani hili itabidi nilisemee kesho

And you are wrong kabisa, what u r missing is something 'constructed'.....
 
Hapa naona umeongelea upande wa mwanamke tu kuna kina baba wameachana na wake/wapenzi wao na kuachiwa watoto na wanakwambia maisha yake ni raha mustarehe na watoto wake hataki tena kusikia mambo ya wanawake na nimeongea na mtoto mmoja wa hawa jamaa anadai baba yao anawajali sana na walichoka vituko vya mama yao(ni mtoto wa kike 15yrs).
 
Why do i have the feeling 'utachafua hali ya hewa hapa' ? na kukimbiza watu kwenye serious discussion,prove me wrong today.

it depends with what u think....
to some it sexy and good to apreciate their women's body...
when i say its a pillow,how is it inachafua hewa?
a pillow for mto wa kuwekea kichwa....get it?
 
it depends with what u think....
to some it sexy and good to apreciate their women's body...
when i say its a pillow,how is it inachafua hewa?
a pillow for mto wa kuwekea kichwa....get it?

them thoughts wondered afar....l.o.l
 
it depends with what u think....
to some it sexy and good to apreciate their women's body...
when i say its a pillow,how is it inachafua hewa?
a pillow for mto wa kuwekea kichwa....get it?
Mwanajamii1 has brought an issue that touch alot of us and begs for a discussion and all you think about is a lady's behind ?
 
Of course there is nothing better in the world than being with the one you love, sharing and cherishing every moment…. BUT

Does having someone for the sake of having someone better than having no one?, Definitely not…, if you are with someone who does not value you, you had rather be alone.., To be happy comes from within you can create your own happiness…, you can still have friends with no attachments…,

So its all about weighing the pros and cons..., if the guy was not worth it..., just someone you share a bed and nothing else, just adding stresses in your head then you are better off right now.. We Make Our Own Happiness...
 
Mwanajamii1 has brought an issue that touch alot of us and begs for a discussion and all you think about is a lady's behind ?

thread inaenda na ku develop....
where is she?
if she wanted our opinions,
she should stand around and reply right?
 
Of course there is nothing better in the world than being with the one you love, sharing and cherishing every moment…. BUT

Does having someone for the sake of having someone better than having no one?, Definitely not…, if you are with someone who does not value you, you had rather be alone.., To be happy comes from within you can create your own happiness…, you can still have friends with no attachments…,

So its all about weighing the pros and cons..., if the guy was not worth it..., just someone you share a bed and nothing else, just adding stresses in your head then you are better off right now.. We Make Our Own Happiness...

are you living your words?
 
hahahah mkulu Uporoto01 umeenda mbali sana apo...dah..

Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.
 
Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.

you are suppose to reply the topic
and not watching what i write....
 
Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.

lets beat it men....mwanajamii one needs us now!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom