Akademician
Senior Member
- May 20, 2015
- 143
- 36
- Thread starter
- #21
.
Simaanishi hivyo mkuu,
Ila nadhani kabla ya kutambua umahiri katika utendaji, waajiri wengi huanza kuangalia matokeo yako ndipo wakuite kwenye interview.
Nd'o hivyo mkuu,
Ila nimejitahidi sana kustrago ndani ya kipindi hiki bila mafanikio.
Kama kuna sehemu tupeane connection.
Nimemaliza mwaka huu wakuu,
Na hayo ni matokeo ya semista 5.
We kweli akili yako imeishia kwenye GPA tu yaani umelalaamiaaaaka mi nikajua umesota miaka hata mi3???kumbe ndionumemaliza chuo mwaka huu??na waliomaliza mwaka jana ma.kukosa Ajira mwaka huu wasemeje sasa???
Mimi apa nimemaliza Udsm ajira nimepata lakini tangu tuajiriwe mwezi wa 5 post zilivotoka hadi leo hii mwez wa 7 mwishoni sijalipwa mshahara haaata 1 na mimi nisemeje sasa??na nina vyeti na ufaulu mzuri tu!!
Tuliza akili subiri matokeo yatoke upate vyeti ndipo ufanye application sio kuja kuliaaliaa tu hapa yan.huna hata wiki mbili kitaaa...eti 'nimestrago' unajua ku strago ww?? unadhani ni.mwajiri gani atakupokea kwa kuangalia provisional results??kama umeedit je??Panua akili yako fikiri kwanza kabla ya kulalamika kuna watu wapo mtaa miaka mi3_5 hawajapata ajira wewe huna hata wiki mbili unalalamika!!daah ndo matatizo ya elimu ya Tanzania haya!!!
Inatolewa SECOMU Tanga & UDOM mkuu.