Akademician
Senior Member
- May 20, 2015
- 143
- 36
.
Wadau wa elimu na wakuu wengine,
Ndugu yenu nimejitahidi sana kuconsult shule mbalimbali za private kuomba nafasi ya kufundisha masomo ya Kiswahili na Kiingereza,
lakini bado ni changamoto pamoja kuwa na degree ya GPA tajwa hapo juu na uwezo mzuri wa kushea maarifa kwa wanafunzi.
Uzuri ulioje nipo tayari kufanya makubaliano ambayo nina uhakika yatamridhisha mwajiri kwenye suala zima la malipo.
Nimekuja tena kwenu wakuu kuomba sapoti kwa anayeweza kuniunganisha na shule ya binafsi iwe ndani au nje ya Dar.
Natanguliza shukrani, na M/MUNGU awabariki sana.

Nimemaliza mwaka huu wakuu,
Na hayo ni matokeo ya semista 5.
Nd'o hivyo mkuu,
Ila nimejitahidi sana kustrago ndani ya kipindi hiki bila mafanikio.
Kama kuna sehemu tupeane connection.
you are not serious mdogo wangu! chuo umetoka juzi? unasema umestruggle kumbuka ajira huendi leo tu kesho unapata tuliza akili wew tuma application sehemu nyingi then vuta subira.
mara hii ushachoka tafuta ajira kusubiri ya serikali ikitoka si umeahajinyonga?? punguza papara kijana
Hivi unafikiri nani atakuajiri bila ya vyeti? Unasema una GPA ya 4.0 wakati huna uhakika na matokeo yajayo, je kama ukifail hii semester ya mwisho? Au mitihani ulitunga nao? Hakuna mwajiri anayeweza kutake risk hiyo, maana mtoto hajazaliwa unamuandalia mavazi, akitoka mfu je? Tuliza akili usiwe na papara na ajira, wenzako wapo mitaani miaka 3 na vyeti mkononi.