Pamela na Kipini

Pamela na Kipini

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
1,427
Reaction score
2,768
IMG_20200126_200221.jpg

Hizi hadithi licha ya kuburudisha zilikuwa zimejaa Mafundisho makubwa ambayo yalikuwa yakitumika kumjenga mtoto na kumfanya akue katika misingi iliyo bora. Je, ni hadithi gani ilipata kukuvutia ukiwa shule ya Msingi na unaona kabisa Mafundisho yake yamekukaa mpaka leo? Karibuni.
 
Dunia haina siri (Sijui ndo jina la hadithi, sikumbuki vizuri)
 
Back
Top Bottom