pambio

pambio

tobycow

Senior Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
129
Reaction score
13
jamaa mmoja alikuwa ana siku nying haendagi kanisan.cku moja akaamua kwenda maombi.kwa bahati mbaya akachaguliwa aanzishe pambio jamaa akaanza'BWANA AMETUFUNUA HALELUYA
watu:aaaaah wewe kakufunua mwenyewe
 
haaaa, akyanani!! Hii kali ila TAKE CARE!!
 
Ha ha,umenifanya nicheke kwa nguvu mbele za watu!
 
Hahahahaha! U av made my day hahahahaha nimecheka balaa!
 
Back
Top Bottom