Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,610
Akiyasema haya madhabahuni uraia wake unawza hamishiwa CONGOMambo na maneno matamu kama haya mnatakiwa myaongee madhabahuni Baba Askofu.
Hahahaha"Huyu baba Askofu hana asili ya Malawi kweli"-yatakua ni maneno kwenye korido za ofisi flani flani hapa Mjini.
Naona kuni ndo zinakolezwa achaHuu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Uhuru wa kuingia uchi kanisani?Uhuru si zawadi tunayopewa na watawala bali ni haki ya asili ya kila mtu kwa sababu tuliumbwa nayo. NI HAKI YA ASILI!!!
Kiuhalisia tawala za kidunia mara nyingi hulenga katika kupora uhuru huo ili wawatawale watu kama wapendavyo. Lakini hivyo si sawa. Hata Mungu alipowaumba Adamu na Hawa aliwapa uhuru wa kutosha wa kufanya maamuzi na uchaguzi (Mwanzo mlango wa 1 na wa 2).
Ni ubaya na uovu pale tu uhuru huo unapotumika vibaya kwa lengo la kuingilia, kukandamiza na kuhatarisha uhuru na maisha ya wengine. Hii ndio sababu zipo katiba na sheria za nchi huru pamoja na maazimio ya kimataifa vinavyotungwa ili kulinda uhuru huo.
Uhuru wetu ni haki na kipawa cha asili tulichopewa na muumba wetu.
Ni wajibu wako kupambana na yeyote anayejaribu kukunyang'anya uhuru wako ambao ni haki yako ya asili.
Nyie mbona mnaleta ujinga kila maharaHuyo ni tapeli tuu
Alikutapeli nini mkuu??? je ulimpeleka katika vyombo vinavyohusika na kutoa haki??? Tujuze 😵😵Huyo ni tapeli tuuu
Dogo langu juzi ameacha kabisa, amevua gwanda za polisi ameamua kujiajiri, anasema askari wameanza kuishi kwa hofu, wanaona hawako salama na familia zao.Huu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Akiona hali mbaya anaamia upande wa waandamaniji.
Uhuru wa kuingia uchi kanisani?
Akiwasifia anakuwa shujaa akiwakosoa tapeliHuyo ni tapeli tuuu
Ndiyo mabaki ya CCM humu jfUhuru wa kuingia uchi kanisani?