Pambana na hali yako

Pambana na hali yako

Chenchele

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,986
Reaction score
2,525
Albert Einstein na u Genius wake wote ule hakufanya english NECTA ya kwao huko lakini bado akaishia kupata div(lll)... We kama bado unadhani A zako ndio akili basi PAMBANA NA HALI YAKO!!
7ccbb7a22ed6d3aa35cea19110bcf0c3.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namna aiseeeeh
 
hahahahah........eti NECTA yakwao hukooo.dah jamaa umeuwa.
 
Einstein........ Sijui watu kama hawa watazaliwa tena naona species zao zilishaisha
 
Elimu ya vyeti inapma uwezo wako wa kukalili na cyo kuelewa ndomana jamaa ana div 3 still bado ni genius

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom