Pamba Road mashimo yamezidi, mbunge upo wapi?

mayor mabula anapiga pesa tu! hicho ndicho walichotaka ccm: WAWATOE CHADEMA KWENYE UONGOZI WA JIJI ILI WAWEZE KUPIGA PESA YA JIJI VIZURI!

Baelezee mukuru; habajui majukumu ya Mbunge;

CCM wote ni waluwalu tu; wezi wakubwa kuanzia kwa balozi hadi Juu
 

Kimodo na koti kubwa vinahusianaje na barabara?

Wenje ni kiongozi wa watoa hoja za maendeleo ya Wananyamagana - si mtendaji;

Wewe binafsi ungekuwa mbunge ungefanyaje ili barabara zote jimboni kwako ziwe sawa?
 

Wenje yuko bize na operesheni mpya kutoka CHADEMA.
 
Barabara ilifungwa mwaka na nusu, imefunguliwa mwaka jana tu now mahandaki mwanzo mwisho, chezea kebwe sijui kabwe, huyu mkurugenzi alikula hela sana hapa mwanza


 
Barabara ilifungwa mwaka na nusu, imefunguliwa mwaka jana tu now mahandaki mwanzo mwisho, chezea kebwe sijui kabwe, huyu mkurugenzi alikula hela sana hapa mwanza

kabwe alikuwa analinda maslahi ya wakubwa si unaona amepandishwa kuwa mhandisi wa jiji la dar? na waliokuwa wasaidizi wake pia wamepandishwa vyeo! Mhandisi mkuu wa jiji amepelekwa kuwa mkurugenzi wa manisipa kigoma na aliyekuwa mchumi wa jiji ameenda kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya msalala! usicheze na jk wewe!
 
Invisible jf idumu milele kumbe hoja yangu ipo hadi leo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…